Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,887
tatizo la siku hizi club zote ni kupiga miziki ya diamond!
Ngoja ni survey sehemu nzuri ya karaoke nitakutafuta tuimbe pamoja!
poa poa.....karaoke inabamba sana........
tatizo la siku hizi club zote ni kupiga miziki ya diamond!
Ngoja ni survey sehemu nzuri ya karaoke nitakutafuta tuimbe pamoja!
taweka mabawa mengine au waling'oa mapaka vishina??
yakiota yanang'olewa........wacha saa hii yakiota niyafiche...........