Mambo ya Sangoma hayo...

ungekuwa wewe ungekataa? wakati mambo yako yamekwama?
Kama ndio umeamini hasa unakataaje Mkuu. Japo huwa siombei kutekwa na hizo imani sababu wengi wanafanya vitu ambavyo kwa akili ya kawaida mpaka ujiulize mara tatu tatu kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…