as1987
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 1,256
- 598
inatosha kuliko kukosa kabisaposho efu 10 kwa siku wanamaisha magumu
inatosha kuliko kukosa kabisaposho efu 10 kwa siku wanamaisha magumu
Shikamooo Mkuu, kula gwaraNimeboreka kuna mmoja kafanana na makamu wa supika.
Good umewairaisishia kazi ya kukupataMmmmh... kwel hakuna siri. Hii picha nimepiga mm na simu yangu juzi siku ya tarehe 4. Nikaipost kwenye magroup ya kazin. But now naikuta huku
Basi we ni mchepuko tu maana jamaa aliopo apo yupo pale kati mji mdogoAngalizo .. huyo wa pili shemeji yenu, mtoto mkali toka huasibu, napiga vyumbu mwenyewe...' hao wengine nawagawa bureee ukitaka namba zao ni pm
Huyo wa mwisho laZima atakuwa na Neema za allah.Huyo wa kwanza angekaa mwisho huko...kakomaa kama muwa,angalau huyo wa pili ndo angesogea mwanzo
Mbona huyu wa 1 kafanana na tuliaView attachment 363277 hata vocha ntanunulia sabasaba
Mimi ni me au unautafuta ubaya baadae ujeumbe radhi?Mkuu na wewe unataka kuomba kazi ya kutoa huduma za tigo?
Kwani kampuni ya huduma za tigo ni kwa ke tu? Mbona mimi nawaona me wengi tu wanauza na kusajiri laini bila kusahau kutoa na kuweka pesa?Mimi ni me au unautafuta ubaya baadae ujeumbe radhi?
Nimeboreka kuna mmoja kafanana na makamu wa supika.
😀😀😀😀😀😀😀 JF bhana.Nimeboreka kuna mmoja kafanana na makamu wa supika.
Huyu wa kwanza eeh??Nimeboreka kuna mmoja kafanana na makamu wa supika.
Umewakatia risiti lakini?shikamoo tig0 yule wa mwisho kabsa ni wangu wa pili kutoka mwanzoni ni wangu na watatu pia halikadhalika na nne ni wangu wengine nmewabakishia