mambo ya romance

Fatma Bawazir

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
492
180
Ikitokea Siku 1 unakula denda kwa Mpenzi wako halafu ukamkuta na PUNJE za WALI mdomoni ukamuuliza "Umetoka KULA? akikujibu kuwa HAPANA.! nimetoka KUTAPIKA utafanyaje?
 
Ahhahha itakuwa mwanzo na mwisho...kama huna uvumilivu utatapika na wewe pia hapo hapo!utakuwa victim wa milele kwenye midenda!!!
 
Back
Top Bottom