Mambo ya qatar hayoooooooooooo duh km wanaijeria vile

Status
Not open for further replies.

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
10,942
Reaction score
437
Habari,

Ninayofraha kukujulisha kuwa umepata nafasi ya kufanya kazi na kampuni yetu hii ya Qatar Quality Flour Mills co. nimeambatanisha na barua ya kukubaliwa kazi ambayo uta saini panapohusika na ktutumia copy yake.

Unachotakiwa Sasa ni kutuma malipo kwa ajili ya kushughulikia Visa kama nilivyokueleza hapo awali na ili kurahisisha utumaji na Salama wa malipo hayo ya Visa Idara ya ajira imeonelea ni vema kutumia akaunti ifuatayo ambayo ni Mastercard na ni akaunti ya Mfanyakazi wa Idara ya ajira ambaye pia ni Mtanzania,Kampuni inatakiwa kuomba Visa yako haraka iwezekenavyo ili uweze kuja na kuanza kazi haraka,tafadhali unatakiwa kutuma gharama za Visa mapema iwezekanavyo.

Unachotakiwa kufanya ni kubadili hiyo dola $195kuwa Tanzania Shillings ambayo ni sawa na Tsh.312,000/ na kisha uta deposit kwenye akaunti ifuatayo;
Account Name: Brown Kennedy Francis
Account Number: 041201116655
Bank Name : National Bank Of Commerce

Ninatumaini utakuwa umenielewa,kama utakuwa na swali lolote basi usisite kuuliza.

Regards
Anna Francis
Marketing Manager
Qatar Quality Flour Mills Co.
 
Matapeli hawa
 
tuma baba tuma ukatusue qatar!,nakuoneaje wivu?ulienda kwa 'mtaalam' gn?teh teh teh
 
Teh teh teh hapa hata mburura hawezi tuma huyu mwizi n mjinga kwelikweli......
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom