Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
Hili sasa naona kuna watu wanataka kuligeuza kuwa ni jukwaa la udaku.Hivi hizo picha zimewekwa hapa jukwaani kwa ridhaa ya wenyewe kweli? Hii sio fair na ni vizuri tukaheshimu privacy za watu.
wapi hapo?walifaidi kweli..........
Naona umemkumbatia shemeji hapo, hutaki mchezo...! Ah ah ah ah.
Aombe kibali kwa nani na yeye ndio mwenyewe?nani karuhusu kuweka hizi picha hapa jamvini?umeomba kibali kwa wenyewe??
Niombe kibali kwa nani? au kuweka picha hapa JF inabidi uombe kibali kwa MODS?nani karuhusu kuweka hizi picha hapa jamvini?umeomba kibali kwa wenyewe??
Aombe kibali kwa nani na yeye ndio mwenyewe?
Labda wenyewe ndiyo waliyozileta hapa,maana watu wanapenda sifa sana.Tukumbuke kwamba ni vigumu kwa mtu kupata picha ya mtu furani,labda kwa mpiga picha!!!Hili sasa naona kuna watu wanataka kuligeuza kuwa ni jukwaa la udaku.Hivi hizo picha zimewekwa hapa jukwaani kwa ridhaa ya wenyewe kweli? Hii sio fair na ni vizuri tukaheshimu privacy za watu.
Aya jamani...ila mwamasishe shemeji afanye mazoezi ya tumbo..Pamoja Pastor......
Mazoezi ya nini bana, kwani ujui kipendacho rohoo... We vipi!?Aya jamani...ila mwamasishe shemeji afanye mazoezi ya tumbo..
Yapo hayo mambo whether it is Pasaka or not na sijui Pasaka inahusikaje na mambo ya beach wakati watu huenda beach na kujifanyia vituko vyao as long as they have time and money....please don't insinuate...Easter is very central and honored by some of us; and we demand respect for Holy Festivals whether they are Christian or Moslem, Jewish, Hindu, Buddhist, Shinto, Bhai etc....They have nothing to do with immorality and unbecoming behavior of people...in fact, religion is there guide people to proper behavior but it is people's choice to do good or bad...