Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,619
kuna makanisa yalijengwa na serikali?akini wakiotesha makanisa makubwa
Holy see ndio nini ?2. Alikuwa na udini pia pale alipovunja uhusiano na Israel na kukumbatia uhusiano na Holy See.
Mbona hiyo namba 2 umeiweka Kinyonge...!?Mwl. Nyerere pia alikuwa na mambo ya kushangaza aliyofanya yasiyoshikiwa bango zama hizi:-
1. Mawazo yake yalifanana pia na ya Nduli Dikteta Idd Amin Dada kwenye kutetea Wapalestina.
2. Alikuwa na udini pia pale alipovunja uhusiano na Israel na kukumbatia uhusiano na Holy See.
3. Alifukuza Wa-iran Ifakara baada ya kugundua hawatekelezi mradi wa kilimo cha mpunga na badala yake wanaotesha misikiti. Lakini aliendelea kukumbatia Vatican ambayo haikuwahi kujenga hata kilometa 1 ya barabara ya muram lakini wakiotesha makanisa makubwa yenye minara kama mlima Kilimanjaro na yenye kuchukuwa maeneo makubwa ya ardhi.
4. Viongozi wote wana dini na udini pia. Fair play ikoje hapa?
Kumbe wakati fulani jana inafanana na leo.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Shule Gani hiyo, hapo akichoka jiwe likamtoka mkononi Lina muangukia kichwaniNyerere alikuwa mdini hii mpya kabisa kuisikia. Alikuwa mdini kwa dini gani dogo ?View attachment 2709329
Uko deep... sikutegemea kujifunza mapya toka kwako [emoji120][emoji120][emoji120]1...nakubali alitumia Sana decree
3...wairani ,walikosea walitakiwa wajenge shule Sana na vituo vya afya (huduma zamsingi kusali hata kwenye miti tungesali) ,wakatolic ilikuwa nilazima yeye mwenyewe alitokea tabora ambapo ni tawi la Vatican(mishenari)
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Lini hiyooooooo chuma kama chuma rais wa africa!!!!CHUMA kimeapishwa Bukinabe!!!
Sorry! Unayasikia ambayo hukutazamia lakini kumbe yapo.Nyerere alikuwa mdini hii mpya kabisa kuisikia. Alikuwa mdini kwa dini gani dogo ?View attachment 2709329
Leo huo!!Lini hiyooooooo chuma kama chuma rais wa africa!!!!
1. Dhehebu lipi linaweza kutoa rais Tanganyika? Ukatoliki na Uislamu au?Shule Gani hiyo, hapo akichoka jiwe likamtoka mkononi Lina muangukia kichwani
Uko sahihi kwasababu,kwasababu katika mkataba wowote hua na mambo mawiliSasa wew unaomba ardhi ufanye uwekezaji kumbe una lengo lingine nani atakuelewa sheria haitaki hivyo
Thomas Sankara yuko wapi? Sylvanus Olympio yuko wapi? Afrika bado ni ile ile jana, leo na kesho haijabadilika hadi Dahari.Lini hiyooooooo chuma kama chuma rais wa africa!!!!
Ulitegemea mapya Toka Kwa mshana JR auUko deep... sikutegemea kujifunza mapya toka kwako [emoji120][emoji120][emoji120]
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app