Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 365,322
- 843,788
Home boi kaula... Walau kaskazini imeonwa... Imekumbukwa... Natamani kukumbukwe zaidi... Kuna faida nyingi kuliko hasara... Lazima kuwe na mizani... Uwiano ni muhimu... Gari inapolalia upande mmoja sababu ni nyingi
Tairi ni dogo
Upepo hautoshi ama kuna pancha
Spring imevunjika nk... Kaskazini kunaweza kuwa muarobaini wa gari kulalia upande
Kaskazini kuna weledi
Kaskazini kuna kujituma
Kaskazini kuna ukweli
Kaskazini kuna kuchapa kazi
Kaskazini kuna haki
Kaskazini kuna hofu ya Mungu
Kaskazini kuna washika dini
Kaskazini kuna misimamo isiyoyumba wala kuyumbishwa
Kaskazini kuna maono na tafakuri
kaskazini hakuna unafiki, uzandiki na porojo
Kaskazini hakuna mitume na manabii mia NNE waya wachawi na waganga wa kienyeji mia MOJA
Kaskazini hakuna wanaharakati huru wa kujitolea....
Mambo ya nyakati haya... Mpango mkakati... MAGAZIJUTO na ku balance sheet... Wanaharakati huru wameshaanza kugwaya... Wameshaona dalili... Shimo la Tewa linaweza kuwa sebuleni kwao na self container
Home boi akishika miiko ya kazi
Home boi akishika miiko ya ukoo
Home boi akishika miiko ya kikabila
Home boi akishika miiko ya mababu, mizimu, wazazi na wazee.... Nuru itarejea tena...
Hofu itaondoka
Kujiamini kutarejea
Masimango yatapungua
Ukatili utasitishwa
Kutishana kutapotea
Kutambiana kutakuwa historia
Ubabe utakuwa hadithi............
Mpare hadhulumu hivyo hayuko tayari kudhulumiwa
Mpare haibi hivyo hatapenda kuibiwa
Mpare ni mpenda haki... Hapa huwezi kumtoa kwenye reli...!!!!
Home boi kaula.... Tumeanza kuona PAMBAZUKO LA KIPENGA CHA MWISHO...!!
Alamsiki fundi Joni...!!!