CHANG'OMBE
Member
- Jul 22, 2012
- 19
- 6
We akili zako sometimes zinachekesha vipi ukae unamchunguza mke wako/mme wako kama humuamini unaishi naye ya nini....Pls refer Qur'an 49:12Mpe muda wa kulichunguza hili jambo, dalili zipo lakini sio strong enough to make conclusion. Mlie chabo hasa hizo simu, hasa ukipata muda muafaka jaribu kusoma txt zake au incoming and outgoing calls.
Unaweza hata ukaweka siku umfatilie nyenendo zako baada ya kazi.
O ye who believe! avoid suspicion as much (as possible): for suspicion in some cases is a sin: and spy not on each other nor speak ill of each other behind their backs. Would any of you like to eat the flesh of his dead brother? Nay ye would abhor it...but fear Allah: for Allah is Oft-Returning Most Merciful.
Mhhhhh! Yahitajika busara sana kutatua hilo jambo! Kwanza kabisa wewe usimuulize, mlie cobis tu, wala usioneshe kuwa una wasiwasi nae, ila kumuumiza roho na kumfanya roho imsute wewe mkumbushe jinsi gani unapenda sana na hutaki kumpoteza! Mweleze unavomthamini na alivo wa muhimu kwako kila mara. Ila at the same time fanya uchunguzi wa kina wa matukio yake, mpitie kazini bila taarifa mda kutoka mwambie muongozane home ( Kama ana kidate utaona atavojitahidi kukukwepa) chunguza chunguza tu taratibu kwa mda, ili upate uhakika na wkt huohuo umpe mda wa kutambua mistakes zake, huenda akajirudi. Unaweza kuta nae yamemkuta kama yangu ana crash kwa bosi wake mpya! LOL! Ila akizoea utakuta anajielewa na kurudisha heshima na upendo zaidi. Cheating inahitaji roho ya chuma! Wengi wanajaribu wanahcemsha!
We akili zako sometimes zinachekesha vipi ukae unamchunguza mke wako/mme wako kama humuamini unaishi naye ya nini....Pls refer Qur'an 49:12
Mhhhhh! Yahitajika busara sana kutatua hilo jambo! Kwanza kabisa wewe usimuulize, mlie cobis tu, wala usioneshe kuwa una wasiwasi nae, ila kumuumiza roho na kumfanya roho imsute wewe mkumbushe jinsi gani unapenda sana na hutaki kumpoteza! Mweleze unavomthamini na alivo wa muhimu kwako kila mara. Ila at the same time fanya uchunguzi wa kina wa matukio yake, mpitie kazini bila taarifa mda kutoka mwambie muongozane home ( Kama ana kidate utaona atavojitahidi kukukwepa) chunguza chunguza tu taratibu kwa mda, ili upate uhakika na wkt huohuo umpe mda wa kutambua mistakes zake, huenda akajirudi. Unaweza kuta nae yamemkuta kama yangu ana crash kwa bosi wake mpya! LOL! Ila akizoea utakuta anajielewa na kurudisha heshima na upendo zaidi. Cheating inahitaji roho ya chuma! Wengi wanajaribu wanahcemsha!
Na hii thread inaongelea nini kama sio suspicion in some cases, angekuwa hamuamini mke wake yanini anaishi naye.Kama kuna dalili zinaonyesha hivyo kwanini nisichunguze na hiyo verse imekwambia suspicion in some cases.
The more you act hurt, the more the insults will continue...BTW if someone insults you as being someone you're not...Yanini ukasirike :bounce:in future stop insulting my intelligence kama haukupendezewa potezea.
fazaa naomba tu ukae mbali na post zangu, I dont see myself coming to peace with you labda ifike UN 🙂Na hii thread inaongelea nini kama sio suspicion in some cases, angekuwa hamuamini mke wake yanini anaishi naye.
The more you act hurt, the more the insults will continue...BTW if someone insults you as being someone you're not...Yanini ukasirike :bounce: