King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,823
- 24,786
mambo ya haki sawa kwa wote. kwani ugali si hata wanawake wanakula?ama una yako kwa kutamani kutoa msaada?
kwanini hao watu wakiume waliokaribu hawasaidii kumbeba binti wa watu, mi nilidhani kukiwa na kazi inayohitaji nguvu mwenye misuli zaidi ndiye atakaejiitokeza kwanza kusaidia???