Archnemesis 2-0
JF-Expert Member
- Aug 25, 2024
- 1,574
- 3,268
Jina langu mimi Ndukusukulukuchu, narudia tena Ndukusukulukuchu. πKijana una moyo?? Nitafute vzr c uku jf bali nitafute nilipo .mm nakupeleka moja kwa moja kwa mtaalamu kwa nauli yangu na km kuna gharama zzt nyingine tukifika uko ntakulipia .alafu ufanyiwe dawa ya aina unayotaka ww alafu urud mjin utanipa majibuu...sharti la kwa nijue kwel una moyo wakutaka mafanikio ya haraka ..NITAFUTE ILA C JF .nitafute ujuavyo ww.
Kuna dogo namfahamu vyema kabisa ana chimbo lake lipo Michungwani Tanga , sema uwe na moyo. Upandwe na Beberu jeupe halina hata doa liku-PDidy tu πππ
Utakuwa na hela yaani Beberu π likupande likumwagie π¦π¦π¦ uwe na mihela kama yote
Mtoa mada kama umeenda kwa mganga omba Toba mapema sana na usirudie tena, zengwe unalotafuta usije kusema hukuambiwa shaurilo. We sikiliza wanga wa kidijitali hawa wakupoteze
ucje ukajaribu plz. utajutia maisha yako yote.Salamu wakuu aisee before sijachukua steps nilisoma humu JF watu wengi wanasema utajiri wa ndagu haupo n story tu nikakaza fuvu nikasema wacha nijaribu nimekuta story zile zile zile tu aisee Unaambiwa hivi ukifika hapo hapo unaona vitu ila ukifika hakuna jipya unaanza kupigwa kalenda mara fanya hili mara fanya lile .
ucje ukajaribu plz. utajutia maisha yako yote.
kuwa au kufanya jambo lolote nje ya asili yake kuna gharama kubbwaNielezee unamfahamu alie fanya hayo akawa anajuta?
kuwa au kufanya jambo lolote nje ya asili yake kuna gharama kubbwa
ucjaribu. hata una changamoto hazitakuwepo milele ni jambo la muda litapita. vumilia na muombe Mungu utasahau yote plz nakuomba ucjaribu huo upandeKuna mambo yamenifika kooni nilitaka nione kama nitafanikiwa upande huo lakin nimeona hakuna ukweli