Mambo ya ndagu nimeamini hakuna ukweli

Ataenda kukuchomesha, kuna mtu nili m connect sehemu, aliyoyafanya anabaki kulaumu. Watu wa hivyo wengi hawako serious. Wanajaribu utafiti tu.

Hamna sio kuchomesha shida mtu unafata kila kitu na moyo ninao kabisa ila mwisho wa siku unakutana na story ukishatoka pale baadae uanze kupiga sm mbona bado unapewa kipengele kipya kama sehem ipo wewe nipeleke mm moyo ninao
 
Wee umekutana na matapeli, wataalamu wako maporini ndani ndani, sio mjini, poleeee.
Km uko serious njoo nikupelekee chimbooo,

Aisee sijui kwa kweli ila before sijaenda niliona watu wengi humu wanasema weshatumia pesa nying na hawakufanikiwa hilo jambo walienda sehem nying mm nikasema wacha nijaribu na mm nimezunguka wapi
 
Nawafahamu wachache, mmoja ni mteja wangu kwenye lodge yangu

Yeye Kila siku lazima aje alale na mwanamke mpya

Ndagu yake ni kuchukua nyota za Wanawake Kila anapolala nao
Aisee tuwaombee sana watoto wetu aloo. Tumawekeza pesa nyingi sana kuwasomesha halaf mshirikina mmoja kirahiiisi tu anakuja kumtomba na kumharibia mwelekeo wake
 
Aisee tuwaombee sana watoto wetu aloo. Tumawekeza pesa nyingi sana kuwasomesha halaf mshirikina mmoja kirahiiisi tu anakuja kumtomba na kumharibia mwelekeo wake
Watoto lazima wafunzwe kukataa, kama wazazi tunawapa hela za matumizi wawapo vyuoni na shuleni, kwanini waingie kwenye tamaa za kupokea fedha kwa watu wengine
 
Hakika Mkuu
Parenting is for real a big challenge. One of the biggest leadership challenge. Kum mould mtoto akae vile umatamani ni kazi mnooo. Utaqeza huku chini ila akisha fika stage ya kuwa huru kuchagua daah!! Una bakimpole kabisa
 
Aisee tafuta hela kwa kutumia nguvu na maarifa uliyopewa huku kuambiwa ambiwa utakuja kuambiwa kupigwa miti kunasaidia kupata hela uchakatwe ubaki huna marinda huna hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…