aisee mwanzoni nilidhani ni wamasai lakini sio.. hii itakua nchi za kusini mwa afrika
samehe mimi dada masai.....
yani hata sijaila kwa furaha.. ninaumwa umwa hapa.., ila nimepata nafuu karibu tuanze mkesha wa mwaka mpya
pole sana
jamani upone,alafu ukule dawa sawa toto
Mimi anataka nikukile weye bhana sitaki dawa