Mambo ya msingi sana tanzania wiki hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo ya msingi sana tanzania wiki hii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MADORO, Mar 6, 2012.

 1. M

  MADORO Senior Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  1. Tushirikiane kuepusha mgomo wa madaktari. Tuwaunge mkono wanaharakati,
  2. Kikwete anapaswa kuwa serious zaidi na suala hili, asichezee roho za watanzania kwa mapenzi binafsi kwa Mponda na Nya.
  3; KWA MARA YA KWANZA NIMEAMKA VIBAYA KUONA LOWASSA ANAITWA "MPIGANAJI WETU" WALIOMWITA HIVI WAMENIHARIBIA FIKRA WIKI NZIMA, AMEWAHI KUPIGANIA NINI NA WAPI? WANAOJUA MTUFAHAMISHE
  4 Nimeshangaa sana Zitto kuonekana kuwa Kipenzi cha Edward Lowassa akijumuishwa na Mh. Benno Malisa, Peter Serukamba, January Makamba, Makongoro Mahanga, Mama Shelukindo na Zitto Kabwe, endelezeni vita vya kulikomboa taifa. Mh. anawaaminia.KIFUPI ZITTO LOWASSA ANAKUAMINIA! hili nalo la kujua wiki hii vizuri.
   
Loading...