Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,816
- 58,460
Huku gomzi watoto hovyo sana mkuu...Mkuu, mtoto (mfano wa kike wa form three) anaweza kukuwazia ujinga kabla ya wewe kumuanza (mfano: Kumkonyeza)??..
Mimi pia nipo Gomz.Huku gomzi watoto hovyo sana mkuu...
Juzi hapo mtoto wa form 4 namwambia amka anasema hawezi imagine
Mkuu upo gomz seriously....Mimi pia nipo Gomz.
Huyo dogo aligoma kuamka kwenda shule au kuamka kutoka juu ya kiti??..
Ninakaa njia ya Banana. Wanapaita Kitunda..Mkuu upo gomz seriously....
Nilimwambia amkia....
Ahhahaha typing error mkuu
Kweli Mungu ametuumba tofauti sana. Mimi kumlazimisha mtoto au mtu yeyote yule kunipa salamu, aisee siwezi. Hakika wanadamu tunatofautiana sana aisee..Nilimwambia amkia....
Ahhahaha typing error mkuu
Nothing goes for free. Nothing goes unrewarded..Usiwadharau watu.
Usiwaamini watu
Usipende offer zina madhar( vinywaji au chakula + pesa)
Ah wee tena mie nitakuwa nayachapa matako ya dada yao mbele yao na hawanifanyi lolote. Sii walikula hela zanguANOTHER ONE: Usimpapase wala kum-busubusu mkeo mbele ya kaka zake au wazazi wake. Huko ni kukosa adabu..
Hahahaaaa, daah ila wee jamaa wee..Ah wee tena mie nitakuwa nayachapa matako ya dada yao mbele yao na hawanifanyi lolote. Sii walikula hela zangu
Hahahaaa, mkuu, kwa hiyo na hili pia ni jambo la msingi sana katika maisha?? Au sio mkuu??..Ukimaliza kumgegeda demu jamani mkumbuke kumvalisha chupi...ni ustarabu tuu
Nzri hiyo.. huko pote napajua mkuuNinakaa njia ya Banana. Wanapaita Kitunda..
Poa mkuu. Karibu sana..Nzri hiyo.. huko pote napajua mkuu
Takarbia mkuu.... Mara nyingi naishiaga relini hapoPoa mkuu. Karibu sana..
No free lunch in AmericaNothing goes for free. Nothing goes unrewarded..
Hakika mkuu..No free lunch in America