Kwani wewe ni mwenyekiti wa kamati ya roho mbaya?Hii ya pili inanihusu, nikiona wenzangu wanakula chakula kizuri na hawanikaribishi basi natema mate na kukohoa mbele yao ili wasuse chaula, tukose wote.
Huo sasa ni uamuzi wako binafsi na kamwe siwezi kukupangia.Lakini sio mama yangu napita nae tuu
Daah, kweli kabisa mkuu. Wajasiriamali wa kitaa wanaweza kukulia timing kisha wakakuvua kila kitu. You might end up being jumped on.Acha mazoea ya kupita njia moja kila siku. Ukienda kwa njia hiii, unaporudi pita njia ile...!
Personal hygiene in general, should always be practiced and maintained..Ukijua umejikuna pumbu usinshike na mkono wako
EwaaAcha mazoea ya kupita njia moja kila siku. Ukienda kwa njia hiii, unaporudi pita njia ile...!
Eti wakuu, wale jamaa wanaotembea na pilipili kwenye Makoti au ndizi just in case ikitokea amekaribishwa CHAKULA/wali, awe na appetizer yake on the standby, mnawaambia nini aisee?? HahahaaEwaa
Uncivilised mimi au wao wasiotaka kunikaribisha kula?Totally uncivilized
Zamanii ndiyo ila kwa sasa kuna mtu zaidi yangu, wamenishusha cheo.j
Kwani wewe ni mwenyekiti wa kamati ya roho mbaya?
Kwani ni lazima wakukaribishe??Uncivilised mimi au wao wasiotaka kunikaribisha kula?
Yes mkuu. Mademu (hususan single mothers) ni watu wa hovyo sana. Wanakupuna pesa zako zikiisha wanasepa.Kijanaa kaaa mbali na Single Mamaa..
.... indeed. Sisi sio malaika ila tujitahidi sana kadri ya uwezo wetu kutenda yaliyo mema.
Sasa watakulaje wakati nawaona mbele yangu, si dharau hii?Kwani ni lazima wakukaribishe??
Nafurahi kusikia hivyo,asante sanaAsante sana mkuu. Wewe pia ni mtu smart sana mtoto wa Mkuu wa Wilaya. Huwaga ninasoma sana threads pamoja na comments zako.
Poa mkuuNafurahi kusikia hivyo,asante sana
"Mkuu Alex, karibu sana rafiki yangu. Jiskie upo nyumbani"Ukienda kwa mtu, usiweke miguu juu kochi au meza