Mambo ya msingi kufanya kabla ya kufika miaka 28

Mambo ya msingi kufanya kabla ya kufika miaka 28

blackstone

Senior Member
Joined
Aug 11, 2015
Posts
147
Reaction score
129
Habari wana jamvi,

Ni mambo gani ya msingi kufanya kabla hujafikisha miaka 28 kwa vijana wa 20-27 yatakayokufanya uwe na maisha yanayopaswa kuishi mtu anayejitambua na mwenye malengo na future yake.
 
wataalamu wa maswala ya kijamii wanashauri unapofikisha miaka 30,basi uwe umefikisha asilimia angalau 70 ya malengo ya msingi kama vile elimu,ajira, makazi na hata ndoa..
30-40 ni wakati wa kujidhatiti katika hatua uliyofikia na kuweka mikakati zaidi kufikisha asilimia 100.
40- 60 ni wakati wa kufaidi matunda uliyopanda..
 
Duuuh Ila mipango sio matumizi mkumbuke
 
wataalamu wa maswala ya kijamii wanashauri unapofikisha miaka 30,basi uwe umefikisha asilimia angalau 70 ya malengo ya msingi kama vile elimu,ajira, makazi na hata ndoa..
30-40 ni wakati wa kujidhatiti katika hatua uliyofikia na kuweka mikakati zaidi kufikisha asilimia 100.
40- 60 ni wakati wa kufaidi matunda uliyopanda..
kaaaz kwel kwel watanzania wengi elim (bachelor degree) wanahitimu kati ya 25—28, na kama unavyojua Tanzania yetu ajira za halaka hadi uwe na connection usipokuwa nayo kuna mwaka utapoteza bila kazi rasmi, had ukae sawa 30 ndo unakazi labda, bado majukumu ya familia kusomesha wadogo, msaada kwa ndugu. yaani daaah tunashida sanaaa
 
Habari wana jamvi
Ni mambo gani ya msingi kufanya kabla hujafikisha miaka 28 kwa vijana wa 20-27 yatakayokufanya uwe na maisha yanayopaswa kuishi mtu anayejitambua na mwenye malengo na future yake...
Kujitambua....kuacha kua mtu wa kutumia kumbuka pia kusave na kuinvest .....kununua samani kama vitanda. ..Meza,stuli, kununua kiwanja pia ukiweza unaweza Anza kujenga....kua na mpenzi ambae unamalengo yakuanzisha New familia sio chapa ilale. ....kimsingi kama upo ndani I huo umri ndio kipindi chakufanya kazi kwa bidii kutafuta fedha zakufanya yote hayo
 
"..for us physicists believe the separation between past, present, and future is only an illusion, although a convincing one." Albert Einstein

Ziggy Marley (Dragonfly)
Everybody's worried about time
But I just keep that shit off my mind
People living on twenty four hour clocks
But we're on a ride yes we're on a ride we're on a ride that never stops.
Na maisha ya dunia si kitu ila ni starehe ya
udanganyifu....Al-'Imraan: 185

Kisha nikaziangalia kazi zote zilizofanywa kwa mikono yangu, na taabu yote niliyotaabika katika kuzitenda; na tazama, yote ni ubatili na kujilisha upepo, wala faida hakuna chini ya jua. MHUBIRI 2:11

Mfuate Mungu mengine yanakuja yenyewe.
 
wataalamu wa maswala ya kijamii wanashauri unapofikisha miaka 30,basi uwe umefikisha asilimia angalau 70 ya malengo ya msingi kama vile elimu,ajira, makazi na hata ndoa..
30-40 ni wakati wa kujidhatiti katika hatua uliyofikia na kuweka mikakati zaidi kufikisha asilimia 100.
40- 60 ni wakati wa kufaidi matunda uliyopanda..
Umeandika vizuri.
 
Back
Top Bottom