Please More Pic....nilikaribishwa mwanzo mwaka huu...nikaambiwa kuwa nikiwa na dola 500+ naweza Enjoy sna....kuna mtu ameshafika uko please anipe mchakato wa matumiz...vocational ijayo nieende....mkioni sipo kwenye JF please pitisheni mchango wa nauli kuja kuni rescue...wanaseam bora kukata tikiti ya kwenda na kurudi kabisa.
Acheni masihara, watoto wa Mombasa wamefundwa, kwa watu kukimbilia huko wala hakushangazi, maana unapata mtoto ananyenyekea mume kama mfalme wake! Si kuoa mnyakyusa au msukuma ambae mapenzi kwao ni kitendawili!
ha ha ha ha ha, Kyachakiche nimekuchokoza kwenye joke ya chaggas prayer naona ukawa kimya....Mungu akijalia december nitakuwa home town. Tupate tunda(chondo/kisusio)
kama umekua ukiifuatilia hii posti toka awali kuna mahala mimi na
Mzee Kibunango na wengineo tushakubaliana kua hakuna tofauti
kati ya Mombasa, Zenji,Ngazija na Pemba. Kwa hivyo nakuomba
utuekee mapicha kutoka Zenji nasi tufurahishe macho.