Son of Alaska
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 2,812
- 1,054
allahu-akbar hawa wanaonekana hata dhambi hawanaMacho yamekuwa kama vile aliyekunywa uji wa kungu manga ,Lol siri ya uji huu .
allahu-akbar hawa wanaonekana hata dhambi hawanaMacho yamekuwa kama vile aliyekunywa uji wa kungu manga ,Lol siri ya uji huu .
Mombasa kuna tofauti gani na Zenj?
wapi picha bana weye vipi?duh! wabongo nuksi yaani thread ishafika page ya pili kisa? mwazungumia watoto wa Kimombasa
khatari namna hii
enhee mambo ya wapi hayo?
mwazungumzia KIBOKONI au KIZINGO?
wapi picha bana weye vipi?
wallahi wallahi
http://www.youtube.com/watch?v=vinrmRsXjus&feature=related
ulisema ati sina pesaa....ulisema ati skuwezaaa....Mombasa narudi
huu mwaka huu UKIMWI na utumalize tu,nzi kufia kidondani halaliJf kiboko duh!
nilifikiri watu wamelala lakini kumbe mna magonjwa yenu
taabu tupu
unaanza kuchafua hali ya hewa...jamani huu si mwezi wa TOBA
acheni bana mombasa raha sana.....hao wenye niqab nawapenda sana hasa ile saa ya kuwasaula acha bana....
Mombasa kuna tofauti gani na Zenj?