G Game Theory JF-Expert Member Joined Sep 5, 2006 Posts 8,546 Reaction score 881 Aug 13, 2009 #1 Hivi kwa nini jamaa wa kibongo wanapenda kuoa wanawake wa kimombasa? halafu wakishaoa na wenyewe wana adopt accent za jamaa wa kule? halafu kwa nini wanawake wa Kimombasa wanpenda kuolewa na jamaa wa kibongo? picha zitafuata baadein...
Hivi kwa nini jamaa wa kibongo wanapenda kuoa wanawake wa kimombasa? halafu wakishaoa na wenyewe wana adopt accent za jamaa wa kule? halafu kwa nini wanawake wa Kimombasa wanpenda kuolewa na jamaa wa kibongo? picha zitafuata baadein...
S Son of Alaska JF-Expert Member Joined Jun 2, 2008 Posts 2,812 Reaction score 1,069 Aug 13, 2009 #2 hivyo,GT on the entire stretch of the east coast of east africa wewe roots zako hasa ni kipande gani ya hii pwani
hivyo,GT on the entire stretch of the east coast of east africa wewe roots zako hasa ni kipande gani ya hii pwani
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,100 Reaction score 136,730 Aug 13, 2009 #3 Next stop mimi Mombasa aisee Nani kawahi kula pilau la Mombasa hapa?
S Son of Alaska JF-Expert Member Joined Jun 2, 2008 Posts 2,812 Reaction score 1,069 Aug 13, 2009 #5 Nyani Ngabu said: Next stop mimi Mombasa aisee Nani kawahi kula pilau la Mombasa hapa? Click to expand... mombasa hapakufai watakudhuru,watafungua container na kupakua mzigo wote
Nyani Ngabu said: Next stop mimi Mombasa aisee Nani kawahi kula pilau la Mombasa hapa? Click to expand... mombasa hapakufai watakudhuru,watafungua container na kupakua mzigo wote
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,100 Reaction score 136,730 Aug 13, 2009 #6 Son of Alaska said: mombasa hapakufai watakudhuru,watafungua container na kupakua mzigo wote Click to expand... Acha wanga wako wewe...unataka kufaudu mwenyewe sasa?
Son of Alaska said: mombasa hapakufai watakudhuru,watafungua container na kupakua mzigo wote Click to expand... Acha wanga wako wewe...unataka kufaudu mwenyewe sasa?
Kibunango Platinum Member Joined Aug 29, 2006 Posts 8,531 Reaction score 2,490 Aug 13, 2009 #7 Mombasa kuna tofauti gani na Zenj?
S Son of Alaska JF-Expert Member Joined Jun 2, 2008 Posts 2,812 Reaction score 1,069 Aug 13, 2009 #8 Kibunango said: Mombasa kuna tofauti gani na Zenj? Click to expand... kote sawa"WAJA LEO WAONDOKA LEO"
Kibunango said: Mombasa kuna tofauti gani na Zenj? Click to expand... kote sawa"WAJA LEO WAONDOKA LEO"
S Son of Alaska JF-Expert Member Joined Jun 2, 2008 Posts 2,812 Reaction score 1,069 Aug 13, 2009 #9 Nyani Ngabu said: Acha wanga wako wewe...unataka kufaudu mwenyewe sasa? Click to expand... sikujua samahani,kumbe we mzoefu,abdulhalima unamsikia huyu
Nyani Ngabu said: Acha wanga wako wewe...unataka kufaudu mwenyewe sasa? Click to expand... sikujua samahani,kumbe we mzoefu,abdulhalima unamsikia huyu
Steve Dii JF-Expert Member Joined Jun 25, 2007 Posts 6,402 Reaction score 1,298 Aug 13, 2009 #10 mama weee, umempachika jina tayari... ngoja aje Mpemba yule utamkoma!!
Ab-Titchaz JF-Expert Member Joined Jan 30, 2008 Posts 14,630 Reaction score 4,266 Aug 13, 2009 #11 Son of Alaska said: kote sawa"WAJA LEO WAONDOKA LEO" Click to expand... Kali ya Mombasa ni "UTAKULA,UTABEBA?"
Son of Alaska said: kote sawa"WAJA LEO WAONDOKA LEO" Click to expand... Kali ya Mombasa ni "UTAKULA,UTABEBA?"
Ab-Titchaz JF-Expert Member Joined Jan 30, 2008 Posts 14,630 Reaction score 4,266 Aug 13, 2009 #12 Nyani Ngabu said: Next stop mimi Mombasa aisee Nani kawahi kula pilau la Mombasa hapa? Click to expand... Mitaa ya kisauni laitwa gele!
Nyani Ngabu said: Next stop mimi Mombasa aisee Nani kawahi kula pilau la Mombasa hapa? Click to expand... Mitaa ya kisauni laitwa gele!
S Son of Alaska JF-Expert Member Joined Jun 2, 2008 Posts 2,812 Reaction score 1,069 Aug 13, 2009 #13 Ab-Titchaz said: Kali ya Mombasa ni "UTAKULA,UTABEBA?" Click to expand... tufafanulie mkuu hiyo kauli,anyway i fear for NN,au labda ni mzoefu
Ab-Titchaz said: Kali ya Mombasa ni "UTAKULA,UTABEBA?" Click to expand... tufafanulie mkuu hiyo kauli,anyway i fear for NN,au labda ni mzoefu
Ab-Titchaz JF-Expert Member Joined Jan 30, 2008 Posts 14,630 Reaction score 4,266 Aug 14, 2009 #14 Game Theory said: Hivi kwa nini jamaa wa kibongo wanapenda kuoa wanawake wa kimombasa? halafu wakishaoa na wenyewe wana adopt accent za jamaa wa kule? halafu kwa nini wanawake wa Kimombasa wanpenda kuolewa na jamaa wa kibongo? picha zitafuata baadein... Click to expand... Last edited: Aug 14, 2009
Game Theory said: Hivi kwa nini jamaa wa kibongo wanapenda kuoa wanawake wa kimombasa? halafu wakishaoa na wenyewe wana adopt accent za jamaa wa kule? halafu kwa nini wanawake wa Kimombasa wanpenda kuolewa na jamaa wa kibongo? picha zitafuata baadein... Click to expand...
Ab-Titchaz JF-Expert Member Joined Jan 30, 2008 Posts 14,630 Reaction score 4,266 Aug 14, 2009 #15 Son of Alaska said: tufafanulie mkuu hiyo kauli,anyway i fear for NN,au labda ni mzoefu Click to expand... Direct translation yake...."are you staying or are you leaving"... Kuna ule msemo 'Mombasa kuingia raha kutoka karaha' na kwa ufupi ukija just plan to stay maana kuna majambozz kibao yanapagawisha watu.
Son of Alaska said: tufafanulie mkuu hiyo kauli,anyway i fear for NN,au labda ni mzoefu Click to expand... Direct translation yake...."are you staying or are you leaving"... Kuna ule msemo 'Mombasa kuingia raha kutoka karaha' na kwa ufupi ukija just plan to stay maana kuna majambozz kibao yanapagawisha watu.
Ab-Titchaz JF-Expert Member Joined Jan 30, 2008 Posts 14,630 Reaction score 4,266 Aug 14, 2009 #16 Kibunango said: Mombasa kuna tofauti gani na Zenj? Click to expand... Ongeza na Ngazija katika hio orodha.
Kibunango said: Mombasa kuna tofauti gani na Zenj? Click to expand... Ongeza na Ngazija katika hio orodha.
Babylon JF-Expert Member Joined Feb 5, 2009 Posts 1,332 Reaction score 83 Aug 14, 2009 #17 Game Theory said: Hivi kwa nini jamaa wa kibongo wanapenda kuoa wanawake wa kimombasa? halafu wakishaoa na wenyewe wana adopt accent za jamaa wa kule? halafu kwa nini wanawake wa Kimombasa wanpenda kuolewa na jamaa wa kibongo? picha zitafuata baadein... Click to expand... Baadhi yao hufuatia zile rangi chokileti na nywele za singa ambazo ni necharali na sio zile nywele za bandia si unajuwa kila mtu na maradhi wake. (usimlaumu dobi kaniki ni rangi yake)
Game Theory said: Hivi kwa nini jamaa wa kibongo wanapenda kuoa wanawake wa kimombasa? halafu wakishaoa na wenyewe wana adopt accent za jamaa wa kule? halafu kwa nini wanawake wa Kimombasa wanpenda kuolewa na jamaa wa kibongo? picha zitafuata baadein... Click to expand... Baadhi yao hufuatia zile rangi chokileti na nywele za singa ambazo ni necharali na sio zile nywele za bandia si unajuwa kila mtu na maradhi wake. (usimlaumu dobi kaniki ni rangi yake)
S Son of Alaska JF-Expert Member Joined Jun 2, 2008 Posts 2,812 Reaction score 1,069 Aug 14, 2009 #18 Ab-Titchaz said: Ongeza na Ngazija katika hio orodha. Click to expand... lamu je?
Ab-Titchaz JF-Expert Member Joined Jan 30, 2008 Posts 14,630 Reaction score 4,266 Aug 14, 2009 #19 Son of Alaska said: lamu je? Click to expand... ...yes of course!..wenyewe wasema 'amu.
Babylon JF-Expert Member Joined Feb 5, 2009 Posts 1,332 Reaction score 83 Aug 14, 2009 #20 Ab-Titchaz said: Click to expand... Macho yamekuwa kama vile aliyekunywa uji wa kungu manga ,Lol siri ya uji huu .
Ab-Titchaz said: Click to expand... Macho yamekuwa kama vile aliyekunywa uji wa kungu manga ,Lol siri ya uji huu .