Risk manager
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,837
- 17,487
Perfect kabisa lakin akili hana alafu anachukua masters elimu haijamkomboa kabisa huyu
siwezi kumlaumu huyu dada, "kisa mkasa" hiki ni ushahidi au ni picha yenye kaonyesha jamii yetu ni ni jamii ya aina gani. Jamii yetu imejaa watu wasiojitambua na wasiopenda kuyakabiri matatizo. Kama msomi wa kiwango cha shahada ya uzamili ana fikra za hivi tutegemee nini. Pamoja na kuwa na kazi fikra zake yeye ni kuhongwa. Mtu wa aina hii atakataa vipi kutoa "pete" kama mwombaji ana pesa. Ndio maana mabinti na madada wengi mmejigeuza kuwa vyombo vya starehe badala ya kuwa "mama". Siku zote nguvu ya mwanamke ipo kwenye ushawishi ndio maana wote tu mashahidi kwa yaliyomkuta samson kwa derira. Unashindwa vipi kutumia ushawishi "kumshape" mumeo ktk namna uipendayo.
Kwani elimu ni nn kaka.
Kama mtu ni malaya.mwizi.muongo.mmbeya.mgomvi.mbinafsi.mlafi.mpenda ngono.shoga.msagaji na tabia zingine kwani elimu inaziondoa jamani.
Elimu ni mtu anapata mafunzo fulani k.v kuendesha gari.ndege.kutibu watu.kujenga.kuingoza watu.kutunza kumbukumbu au mwalimu afundishe watu ila tabia za kibinadamu bado anazo rafiki yangu.
Tatizo kuna watu wanakuwa na elimu na wanajiona kama wao ni malaika la hasha ushenzi hata wa kibinadamu mtu anao hata wavuta bangi wagomvi na mateja wapo pia hata wacha Mungu na watukuza shetani na raia kwa sangoma wanaenda na elimu zao.
So usishangae kuwa elimu ukamfanya akawa malaika eti wa kuigwa na jamii au msanij kioo cha jamii wenyewe wanakataa.mie ndo mtazamo wangu
Nadhani wengi wetu hatuelewi maana ya "usomi", Mwanafalsafa Plato alianzisha chuo kikuu cha kwanza na kutoa elimu akiwa na lengo la kuwafanya watu wafikiri kwa mantiki (to reason). Sasa msomi ambae akili yake imeganda ktk kuhongwa huyo nadhani "ha-reason". Lakini kilichonisitua ni ile hali ya kuwa mnafiki. Kulikoni kumvizia mumeo eti ukimaliza kusoma na kujipanga utamwacha si bora kumwambia ukweli kama Ana kitu cha kufanya kuiokoa hali hii afanye na kama ikishindikana basi kila mmoja akamate njia yake. Ndio maana nawafagilia "wazungu" ktk maamuzi yao. Hakuna unafiki, hakuna kudanganya kama penzi limefika tamati na hakuna jinsi basi ni kuandaa sherehe ya kuagana na kila mmoja kushika njia yake.kaka hakuna usomi kwenye kulondomola ata ma profesa wanachepuka, apo inaonekana jamaa mvivu alafu mchoyo ndio maana mtoto wa kike kaamua kutafuta kazi ya nje
Ngoja wanaume waje
Watatokaje mapovu leo
Ha ha ha
Mtabiri wetu naomba utusaidie iwapo hii ni chai au la??
Hivi leo si zamu yako?
Ndio maana mnaliwa pete kila siku. Huko michepukoni wanaume hawana mzaha, anakupa kila unachotaka--> na wewe utampa kila anachotaka, mtaliwa macho hadi mkome!!
Speaking out of experience eti baby!!