Wakati watu wanagombania kupanda mabasi kama kawaida yao,bibi mmoja alipanda akapata siti bila shida
konda akamuuliza"bibi mbona unalia??"
bibi akamjibu "mjukuu wangu kwa miaka 25 niliyoishi mbagala sijawahi pata siti lakini leo nimepata"
konda akamwambia "nyanyuka hiyo siti ya dereva".
hiyo avatar!!!!!!!!!!!!!!!!!
hii ni mizaha na utani, biblia inasema hukumu imewekwa tayari kwa watu wenye mizaha,
acha hizo tabia zitakukosesha na Mungu aliyekuumba na kukufanya uangamie au ukose baraka zake wakti ukiwa hai duniani
ikachomoka nini?
Kukukuma yako
Inanoga sana!
ah haa haa haaaa..................huuuuuh,masikiiiiini,imenchekesha afu imensikitisha