Mambo ya maana V/S mambo ya utee, baba utee

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,683
Reaction score
14,066
Kwa tafiti ndogo niliyofanya,
Kimsingi kila ninapouliza mambo ya maana ni wachache sana angalau watachangia,
LAKINI

NItakapoulizia mambo ya kipuuzi kama Misambwanda na ute ute...lahaula wanamiminika watu lukuki kutoka sehemu zisizojulikana.

HILI NI TATIZO KWA AFYA YA MAENDELEO.
NB
EPSTEIN VP?
 
Shida huanzia hapa
 
Ubongo wa mwanadamu umeundwa kupenda na kukabiliana na vitu laini kuliko vigumu. kama ilivyo katika soka, si wanasoka wote wenye uwezo wa kuwa Mbape au Messi, ila ni wachache hufanya hivyo kutokana na juhudi na kuweka bidii zaidi. nyuzi zenye maana si kwamba watu hawazioni, zinaonekana, ila watu hukosa cha kujibu hata kama majibu wakiwa nayo mfukoni. vitu vya kipuuzi hupata wachangiaji wengi sababu zinaendana na upuuzi wanao uhitaji, na si kwamba hawana maarifa ya mambo mengine ya maana na msingi kwao.
 
naam
hakika
si mchezo
 
Wanaojua kutumia VPN asilimia kubwa ni vijana ndio waliojaa humu jamvini kupush thread za hovyo, wazee wenye busara kuchangia mambo ya msingi walienda na kifungo cha mwaka jana!.
 
Mtihani sana
 
Back
Top Bottom