Jipeni moyo tu ,ooh Hiyo ni damu ya yesu-mtishamba ni damu ya yesu. mauti inawakaribia taratibu poleni sana enyi wenye shingo ngumu.
Mnashindwa kumtafuta mungu wa kweli awafunulie ju ya hiyo huduma,mmekezana tu kibabu,jamani sio nguvu ya mungu,ni roho nyingine hiyo. watu wataanza kufa taratibuuuu!
Magari mengi ya tours ambayo yana 4WD yalikuwa yakienda huko lakini kasi yake imepungua huku watu wakizidi kuongezeka kuelekea kwa Babu..iko siku tutasikia watu wanapelekwa kwa Toyo...watumie defender 4WD
dawa ya babu itazzua balaa kama tusipokuwa makini katika hili.
milion 20 kwa siku haiwezakani kwani antakiwa ahudumie wa2 20,000. hata kama ata2mia masaa 12 anatakiwa ahudumie takribani watu 28 kwa dakika moja, we unaweza? acha uzushi,,,,,,,,,,,,,na wajinga ndio wapotezwao,wacha babu atengeneze noti azisanye za majuha,naskia anapata mpk ten milion for one days,akishachenj dola atayeyeka kiaina akafaidi mahelayake.
Mauti hayatakuja kwa wanaopata dawa kwa babu tu. Hata wanaopata hospitalini na hata wasioumwa kabisa labda mimi na wewe, wote tutafikia umauti...
Lakini kwanini watu wamelivalia njuga jambo hili? Kuna anayelazimishwa kwenda?
Au wasioenda ndio wasafi sana kiroho?
Na nani ametupa mamlaka ya kuhukumu?
Je kuna muumini anayelewa kila kitu JINSI Mungu anavyojidhirisha na kutenda kazi zake?
Ni kweli imeandikwa kuwa Shetani anaweza kugeuza GIZA ionekane kama NURU, na je wewe unayefikiri upo kwenye NURU una uhakika gani kwamba hiyo NURU sio GIZA lililogeuzwa?
Mimi nafikiri kwa vile hakuna aliyeshurutishwa kwenda hamna haja ya kucharurana kiimani hapa jamvini. Wanaotaka kwenda waende, wasiotaka waendelee na taratibu zao za ibada na maombi mbalimbali, huku wakiwaombea walioenda na wasioenda.
Abiria wanaosafiri kwenda Loliondo sasa wanasafirishwa kwa Fuso kutokana na magari madogo kukataa kwenda huko kutokana na mvua kubwa kunyesha na barabara kuharibika vibaya nilifika jana kwenye stand kuu ya mjini Arusha nilishuhudia Fuso 7 zikipakia abiria(wagonjwa) na kupangwa kama vile ng'ombe wanavyopangwa wakisafirishwa kutoka mikoani na kufikia saa 12 jioni fuso hizo zilikuwa zimeshajaza tayari kwa safari…Leo Asubuhi nimeshudia fuso 3 zikipakia na cha kushangaza Polisi walikuwa wakishuhudia tukio hilo la uvunjifu wa sheria nilijaribu kupiga picha watu walikuja juu wakitaka kunishambulia nikaona nisijetolewa uhai wakati nasubiria maandamano..Wanajamvi wenzangu ni lini serikali imeruhusu abiria kusafirishwa kwenye malori, je serkali imeshindwa kutoa msaada kwa abiria(wagonjwa) hawa?
Naomba kutoa hoja
Pole Mkuu kwa kutaka kutolewa macho. Ukiona hayo yanatokea, ujue kuwa Serikali hakuna au imelala usingizi. Mpaka Chadema waseme ndo serikali itarudi kazini au kuamka usingizini!
Mandamano gani unasubili? kama ni ya chadeam, nambie nisogee
avatar yako na hayo maelezo kwa babu hata hayalingani.kwani wewe upo upande gani?au imani yako haba?WanaJF niko safarini kwenda loliondo kwa babu. Kwa mshituko mkubwa napokea dondoo za gazeti la nipashe la kesho kupitia itv ya kuwa babu amesitisha huduma kwa muda. Kwa wenye undani wa hii maneno mnisaidie maana presha inapanda na inashukaaaa.
dU..hII ni mpya zaidi tena...sijastukia hii ya Landcruisers kukataa kwenda kwa babu!Abiria wanaosafiri kwenda Loliondo sasa wanasafirishwa kwa Fuso kutokana na magari madogo kukataa kwenda huko kutokana na mvua kubwa kunyesha na barabara kuharibika vibaya nilifika jana kwenye stand kuu ya mjini Arusha nilishuhudia Fuso 7 zikipakia abiria(wagonjwa) na kupangwa kama vile ng'ombe wanavyopangwa wakisafirishwa kutoka mikoani na kufikia saa 12 jioni fuso hizo zilikuwa zimeshajaza tayari kwa safari…Leo Asubuhi nimeshudia fuso 3 zikipakia na cha kushangaza Polisi walikuwa wakishuhudia tukio hilo la uvunjifu wa sheria nilijaribu kupiga picha watu walikuja juu wakitaka kunishambulia nikaona nisijetolewa uhai wakati nasubiria maandamano..Wanajamvi wenzangu ni lini serikali imeruhusu abiria kusafirishwa kwenye malori, je serkali imeshindwa kutoa msaada kwa abiria(wagonjwa) hawa?
Naomba kutoa hoja
Babu kama kawaida.Binafsi nimepata tarifa kwamba Chelsea baada ya ushindi mnono against man-city wanatinga loliondo next week kuimarisha nguvu.
wewe je ni mtanzania? are you also kipofu?Taifa la vipofu. No wonder we are where we are now.