Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Dah yaani mimi shukrani yangu ilikuwa kofi tu basi.Huyo alikutana na muungwana bahati yake.Kule kwetu sijui mkubwa kujamba ni taboo yaani hadi leo sijaelewaga kwa kweli.ila ulikuwa na adabu angekuwa mtoto mwingine angesema sio Mimi
, kwetu mtoto alisingiziwa na huyo Mzee walikuwa wazee wengi nayeye alikuwa na Baba yake, asubuhi yake huyo Mzee kamfuata twende ukale chakula mtoto ulinitoa aibu kamchinjia na kuku kabisa
![]()


