nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,690
Haahhaaha mawe tena kwani nyie wizi?😱😱😱😱😱
ahsante shansarie....wewe unafanyaga hivyo?
wewe lako ni balaa sasa...mawe mkuu ama hata tofali ikibidi....
hii inarahisisha mood ya mwenzio kwenye huu mchezo kwani ni lazima akurudishie nawe unarudisha.... ukimrushia mto anaweza asirudishe af ukajishtukia mwenyewe
mawe mkuu ama hata tofali ikibidi....
hii inarahisisha mood ya mwenzio kwenye huu mchezo kwani ni lazima akurudishie nawe unarudisha.... ukimrushia mto anaweza asirudishe af ukajishtukia mwenyewe
mara mojamoja sio mbaya na inatakiwa itokee auto mko mnapiga stori mbili tatu mnataniana basi mmoja anaanzisha vagi la mito raha sana maana mwisho wa sinema hiyo huwa................ mtu mzima naelewa desh manake nn
Aaaaah...! haya bhana, sisi wengine huku kwetu na Mwita Maranya hayo ya romantic sijui nini hatujui.. sisi ni short and clear, utaskia tu Mama BHOKE..,twende nikureenge..........
Hiyo haina mzuka