Wakati wa Mwalimu Nyerere hatukusikia wala kuona hivi vituko vinavyotokea siku hizi,hata alipokuja Ali Hassani Mwinyi, Mkapa na yalianza kuchomoza kidogo wakati wa Kikwete na yamekuwa na kukuzwa kupita mipaka kwa Hayati Magufuli na sasa ndio usiseme Raisi Samia akikohoa utaona kwenye vyombo vya habari amekohoa kwa mbwembwe, yaani sasa ni kusifia kwa kwenda mbele.
Hii tabia inawafanya hawa wachaguliwa kujiona wamekamilika na wanaweza kufanya wanalo taka kama tuonavyo, wakati wake Mzee Julius Nyerere ulikuwa huoni mihemko ya kusifiwa sifiwa, sijui kajenga hili kafanya lile mangapi ameyafanya katika nchi hii? Leo mtu akifungua choo basi makelele nchi nzima.
Inakuwa ile hadithi ya mfalme, tuacheni ujinga huu,mimi naona ni ujinga ,ushamba na kutokujielewa tunafanya nini na tunakwenda wapi, hii haina tofauti na ile tabia ijulikanayo siku hizi ya kujipitisha, wanaosifu wanasifu kila kitu alimradi na wao waonekane mwisho mtakuja kusifia ujinga.
Hiyo katiba iliyomuajiri ni ya nani?.Lakini huyu kaajiriwa kwa katiba. Unaweza niambia alishinda kwa kura ngapi?
Rais wa nchi ni mtumishi wetu sisi Watanzania ndio tuliomuajiri kwa kura zetu, ndio tunaomlipa mshahara, kumlisha na kumvisha kupitia Kodi zetu.
Rais wetu ana pande mbili, kwa upande mmoja rais ni mtu taasisi, hana feelings wala hawezi kukosea, huyu ni mtukufu rais na pale Ikulu ni mahali patakatifu.
Kwa upande wa pili rais wetu ni binadamu, a human being, ameumbwa kwa nyama, ana hisia and has feelings and emotions na anasikia maumivu, anaumia or sometimes hata kulia.
The human part of her, akifanya vizuri, she needs appreciation, gratitude and encouragement. Hivyo kumsifu, kumpongeza, kumshangilia na kumfagilia ni poa tuu, Ila anapofanya vibaya, tumkosoe...
"Kati ya Wasifiaji wa Rais Wakiwemo Machawa na Wakosoaji wa Rais, Watu Critical, Nani Wanamsaidia zaidi Rais, Serikali Yake?
Wanabodi, Hii ni thread ya Swali, Kati ya wakosoaji wa Rais na serikali yake, yaani wale ma Critics na wasifiaji, wakiwemo praise singers na machawa, nani wanamsaidia zaidi Rais na serikali yake?. Kwa ukosoaji unaofanyika humu JF, Je sisi JF, tunamsaidia Rais na serikali yake au...www.jamiiforums.com
The same applies to Samia. Kwenye mazuri tusifu, yakitokea yakuhitaji ukosoaji, tukosoe kwa heshima, nidhamu na staha.
P
Hiyo katiba iliyomuajiri ni ya nani?.
Kwanini mimi ndio nikuambie alishinda kwa kura ngapi?. Why me?.

Alishinda kwa kura zilezile walizopata na Rais hayati JPM kwa sababu walipigiwa kura pamoja yeye akiwa ni mgombea mwenza !!Lakini huyu kaajiriwa kwa katiba. Unaweza niambia alishinda kwa kura ngapi?
Alishinda kwa kura zilezile walizopata na Rais hayati JPM kwa sababu walipigiwa kura pamoja yeye akiwa ni mgombea mwenza !!
Hiyo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mali ya nani?. Mwenye JMT ndio mwenye katiba.Katiba ni ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Sio mimi ndio nasema, rais anapigiwa ili kushika hiyo nafasi, bali wenye katiba ndio wamesema, katiba ni andiko tuu, ili kuweka kumbukumbu, kuwa wenye katiba waliamua kumuajiri rais wetu kwa kumpigia kura ili ashike nafasi hiyo.Sababu wewe ndio umesema rais anapigiwa kura ili kushika iyo nafasi.
Hapo ilikuwa lugha gongana !! Hakuna uchaguzi kama hakuna mgombea mwenza ! Tena awe wa kutokea upande wa pili wa muungano !! Hiyo ndio sheria na taratibu zinazofahamika, mengine huwa ni madoido tu na mbwembwe za kujimwambafai !!Alishindaje wakati tuliimizwa chagua ccm chagua magufuri na sio chagua ccm chagua samia?
Naomba idadi ya kura alizopata samia
Hapo ilikuwa lugha gongana !! Hakuna uchaguzi kama hakuna mgombea mwenza ! Tena awe wa kutokea upande wa pili wa muungano !! Hiyo ndio sheria na taratibu zinazofahamika, mengine huwa ni madoido tu na mbwembwe za kujimwambafai !!
Wakati wa Mwalimu Nyerere hatukusikia wala kuona hivi vituko vinavyotokea siku hizi,hata alipokuja Ali Hassani Mwinyi, Mkapa na yalianza kuchomoza kidogo wakati wa Kikwete na yamekuwa na kukuzwa kupita mipaka kwa Hayati Magufuli na sasa ndio usiseme Raisi Samia akikohoa utaona kwenye vyombo vya habari amekohoa kwa mbwembwe, yaani sasa ni kusifia kwa kwenda mbele.
Hii tabia inawafanya hawa wachaguliwa kujiona wamekamilika na wanaweza kufanya wanalo taka kama tuonavyo, wakati wake Mzee Julius Nyerere ulikuwa huoni mihemko ya kusifiwa sifiwa, sijui kajenga hili kafanya lile mangapi ameyafanya katika nchi hii? Leo mtu akifungua choo basi makelele nchi nzima.
Inakuwa ile hadithi ya mfalme, tuacheni ujinga huu,mimi naona ni ujinga ,ushamba na kutokujielewa tunafanya nini na tunakwenda wapi, hii haina tofauti na ile tabia ijulikanayo siku hizi ya kujipitisha, wanaosifu wanasifu kila kitu alimradi na wao waonekane mwisho mtakuja kusifia ujinga.
we mzee hunaga kitu cha maana tenaRais wa nchi ni mtumishi wetu sisi Watanzania ndio tuliomuajiri kwa kura zetu, ndio tunaomlipa mshahara, kumlisha na kumvisha kupitia Kodi zetu.
Rais wetu ana pande mbili, kwa upande mmoja rais ni mtu taasisi, hana feelings wala hawezi kukosea, huyu ni mtukufu rais na pale Ikulu ni mahali patakatifu.
Kwa upande wa pili rais wetu ni binadamu, a human being, ameumbwa kwa nyama, ana hisia and has feelings and emotions na anasikia maumivu, anaumia or sometimes hata kulia.
The human part of her, akifanya vizuri, she needs appreciation, gratitude and encouragement. Hivyo kumsifu, kumpongeza, kumshangilia na kumfagilia ni poa tuu, Ila anapofanya vibaya, tumkosoe...
"Kati ya Wasifiaji wa Rais Wakiwemo Machawa na Wakosoaji wa Rais, Watu Critical, Nani Wanamsaidia zaidi Rais, Serikali Yake?
Wanabodi, Hii ni thread ya Swali, Kati ya wakosoaji wa Rais na serikali yake, yaani wale ma Critics na wasifiaji, wakiwemo praise singers na machawa, nani wanamsaidia zaidi Rais na serikali yake?. Kwa ukosoaji unaofanyika humu JF, Je sisi JF, tunamsaidia Rais na serikali yake au...www.jamiiforums.com
The same applies to Samia. Kwenye mazuri tusifu, yakitokea yakuhitaji ukosoaji, tukosoe kwa heshima, nidhamu na staha.
P
Watu wote wanaanzaga hivi, kwanza siku wanazaliwa, wanakuja duniani wakiwa watupu, baadaye wanapata cha maana cha kufanya, na wakati wao ukipita, wanakuwa hawana tena kitu cha maana, na mwisho wa maisha, tunaondoka watupu na kurejea kule tulikotoka, kama tulivyokuja, na vitu vyote tulivyovipata kwenye dunia hii tunaviacha na kuondoka watupu kama tulivyokuja!.we mzee hunaga kitu cha maana tena
Elimu! Elimu! Elimu yetu ni duni kupindukia.Wakati wa Mwalimu Nyerere hatukusikia wala kuona hivi vituko vinavyotokea siku hizi,hata alipokuja Ali Hassani Mwinyi, Mkapa na yalianza kuchomoza kidogo wakati wa Kikwete na yamekuwa na kukuzwa kupita mipaka kwa Hayati Magufuli na sasa ndio usiseme Raisi Samia akikohoa utaona kwenye vyombo vya habari amekohoa kwa mbwembwe, yaani sasa ni kusifia kwa kwenda mbele.
Hii tabia inawafanya hawa wachaguliwa kujiona wamekamilika na wanaweza kufanya wanalo taka kama tuonavyo, wakati wake Mzee Julius Nyerere ulikuwa huoni mihemko ya kusifiwa sifiwa, sijui kajenga hili kafanya lile mangapi ameyafanya katika nchi hii? Leo mtu akifungua choo basi makelele nchi nzima.
Inakuwa ile hadithi ya mfalme, tuacheni ujinga huu,mimi naona ni ujinga ,ushamba na kutokujielewa tunafanya nini na tunakwenda wapi, hii haina tofauti na ile tabia ijulikanayo siku hizi ya kujipitisha, wanaosifu wanasifu kila kitu alimradi na wao waonekane mwisho mtakuja kusifia ujinga.
Not to this extend!Eti mambo ya kumfagilia Rais wakati wa Nyerere hayakuwepo!
Zidumu fikra za Mwenyekiti wa Chama
Ukipiga kwa Rais wa chama Fulani automatically umemchagua na mgombea mwenza wake ! Maana huwezi kusema nampigia kura yangu Rais tu , hiyo haiwezekani !!Samia alikua mgombea urais au mgombea mwenza?
Je kura zinapigwa kwa mgombea mwenza au mgombea urais