Mambo ya kufanya ili uepuke kuumizwa kwenye mapenzi

Challya

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2019
Posts
469
Reaction score
609
1. Unapokuwa kwenye mahusiano jiwekee imani kwamba mpenzi wako hajakamilika na anaweza kukukosea kwa lolote wakati wowote (Hakuna binadamu aliyekamilika) So jiweke tayari.

2. Mpende mpenzi wako lakini kamwe usimuamini.

3. Kamwe usimpost mpenzi wako kwenye mitandao ya kijamii kama hamjaoana.

4. Jenga tabia ya kumchunguza kwa undani mpenzi wako ili uweze kujua upo na mtu wa aina gani maana wengi ni waigizaji. Hii ni kuepuka madhara na matatizo ambayo utaletewa na muda wa kuyarekebisha utakuwa umeshapita.

Achan na hao wanaosema usichunguze simu ya mpenzi wako, bora uchunguze ili ujue upo na mtu wa aina gani kuliko kuja kuletewa UKIMWI.

5. Kama wewe ni mwanaume usimuoe mwanamke kwaajili ya tako tu au sura . Oa mwanamke ajuaye maana halisi ya ndoa ambaye atakuwa mama bora kwa wanao na ambaye akisimama kukuwakilisha popote ataongea point za maana na kupigiwa makofi.

6. Kama wewe ni mwanamke usiolewe kisa tu pesa au uhandsome wake. Olewa na mwanaume ambaye ana heshima hata kama hana pesa lakini anajua kujituma na unaona future nzuri kwake baadae na anakupenda kweli olewa nae, ambaye anajiheshimu na mwenye hofu ya MUNGU.

​
 
Usipokuwa na mpenzi, unaepuka kuumizwa kwa 100%.
1. 𝚄𝚗𝚊𝚙𝚘𝚔𝚞𝚠𝚊 𝚔𝚠𝚎𝚗𝚢𝚎 𝚖𝚊𝚑𝚞𝚜𝚒𝚊𝚗𝚘 𝚓𝚒𝚠𝚎𝚔𝚎𝚎 𝚒𝚖𝚊𝚗𝚒 𝚔𝚠𝚊𝚖𝚋𝚊 𝚖𝚙𝚎𝚗𝚣𝚒 𝚠𝚊𝚔𝚘 𝚑𝚊𝚓𝚊𝚔𝚊𝚖𝚒𝚕𝚒𝚔𝚊 𝚗𝚊 𝚊𝚗𝚊𝚠𝚎𝚣𝚊 𝚔𝚞𝚔𝚞𝚔𝚘𝚜𝚎𝚊 𝚔𝚠𝚊 𝚕𝚘𝚕𝚘𝚝𝚎 𝚠𝚊𝚔𝚊𝚝𝚒 𝚠𝚘𝚠𝚘𝚝𝚎(𝙷𝚊𝚔𝚞𝚗𝚊 𝚋𝚒𝚗𝚊𝚍𝚊𝚖𝚞 𝚊𝚕𝚒𝚢𝚎𝚔𝚊𝚖𝚒𝚕𝚒𝚔𝚊) 𝚂𝚘 𝚓𝚒𝚠𝚎𝚔𝚎 𝚝𝚊𝚢𝚊𝚛𝚒.
 
Kamwe usimpost hapo sijaelewa ina maana we hujui Kama tuna enjoy Sana pale tunapopostiana ma status
 
𝙺𝚊𝚖𝚊 𝚠𝚎𝚠𝚎 𝚗𝚒 𝚖𝚠𝚊𝚗𝚊𝚞𝚖𝚎 𝚞𝚜𝚒𝚖𝚞𝚘𝚎 𝚖𝚠𝚊𝚗𝚊𝚖𝚔𝚎 𝚔𝚠𝚊𝚊𝚓𝚒𝚕𝚒 𝚢𝚊 𝚝𝚊𝚔𝚘 𝚝𝚞 𝚊𝚞 𝚜𝚞𝚛𝚊, umenena vyema lakini Wanaume wengi hapa hawatakuelewa kwasababu huwa wanaangalia muonekano wa nje na siyo wa ndani.
 
1. Unapokuwa kwenye mahusiano jiwekee imani kwamba mpenzi wako hajakamilika na anaweza kukukosea kwa lolote wakati wowote (Hakuna binadamu aliyekamilika) So jiweke tayari.

2. Mpende mpenzi wako lakini kamwe usimuamini.

3. Kamwe usimpost mpenzi wako kwenye mitandao ya kijamii kama hamjaoana.

4. Jenga tabia ya kumchunguza kwa undani mpenzi wako ili uweze kujua upo na mtu wa aina gani maana wengi ni waigizaji. Hii ni kuepuka madhara na matatizo ambayo utaletewa na muda wa kuyarekebisha utakuwa umeshapita.

Achan na hao wanaosema usichunguze simu ya mpenzi wako, bora uchunguze ili ujue upo na mtu wa aina gani kuliko kuja kuletewa UKIMWI.

5. Kama wewe ni mwanaume usimuoe mwanamke kwaajili ya tako tu au sura . Oa mwanamke ajuaye maana halisi ya ndoa ambaye atakuwa mama bora kwa wanao na ambaye akisimama kukuwakilisha popote ataongea point za maana na kupigiwa makofi.

6. Kama wewe ni mwanamke usiolewe kisa tu pesa au uhandsome wake. Olewa na mwanaume ambaye ana heshima hata kama hana pesa lakini anajua kujituma na unaona future nzuri kwake baadae na anakupenda kweli olewa nae, ambaye anajiheshimu na mwenye hofu ya MUNGU.

​
Maneno.mazuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
𝙺𝚊𝚖𝚊 𝚠𝚎𝚠𝚎 𝚗𝚒 𝚖𝚠𝚊𝚗𝚊𝚞𝚖𝚎 𝚞𝚜𝚒𝚖𝚞𝚘𝚎 𝚖𝚠𝚊𝚗𝚊𝚖𝚔𝚎 𝚔𝚠𝚊𝚊𝚓𝚒𝚕𝚒 𝚢𝚊 𝚝𝚊𝚔𝚘 𝚝𝚞 𝚊𝚞 𝚜𝚞𝚛𝚊, umenena vyema lakini Wanaume wengi hapa hawatakuelewa kwasababu huwa wanaangalia muonekano wa nje na siyo wa ndani.
Kumpenda mtu kwa kuangalia tako na sura tu labda iwe kwa one night atanding ila kama ni future tuangalie maadili yake na tabia zake zaidi na malengo.mitazamo hekima busara nk sio.mauno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo no.1 Fanya makosa yote lakini si USALITI.ukifikia level ya kumvulia chupi mwanaume mwingine hapo ni no discussion.
 
Back
Top Bottom