Mambo ya kudambua.....!!!

Vimependezesha meza lkn havina ubora,mchemsho ndio magoli,,
 
Mavimbwanga yose
Hapo kisukari, magonjwa ya moyo, unene wa kupindukia na gauti vitaisha kweli? Protein tu na mafuta hakuna hata salad jamani? Sauce siyo salad hebu weka greens hapo hebo!
 
Hapo kisukari, magonjwa ya moyo, unene wa kupindukia na gauti vitaisha kweli? Protein tu na mafuta hakuna hata salad jamani? Sauce siyo salad hebu weka greens hapo hebo!
Wivu tu huo! Mbona wamasai hawana hayo unayoyasema!
 
Hapo kwenye kiepe ungeweka kitu cha dona.
 
Wivu tu huo! Mbona wamasai hawana hayo unayoyasema!
Hahaha Mmasai anatembea Km ngapi kwa siku? Je, madawa wanayoshindilia kila wakila nyama unayajua? Unless huyo mlaji ni mbeba vyuma na magunia yaani kuli nitakubali. Kama White and blue colour person, mh? Sina wivu ila roho inauma kwa kujiharibu mwili.
 
Unafanya kazi hotelini au wewe ni mpishi,sio bure tu picha hizi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…