Jogookoko
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 533
- 419
Maeneo ya madada poa ni ya kukaa nayo mbali aisee,yana mambo mengi,ukitaka mzigo we nenda kwenye bar kubwa,wahudumu wote wapo sokoni,na kama hayupo sokoni anaweza kukuunganishia mtu.pia mitandaoni wapo.kikubwa mkielewana wewe ndio umpeleke chimbo,sio yeye akuongoze wewe utaumiaHiyo ya kupita sehemu za madada poa ilishanikuta. Nilipaki gari maeneo yao nikisubiri mtu fulani. Mara ghafla defenda iyoo. Wakafika na mikwara yao chap nmeshapigwa pingu ( ndiyo ilikuwa mara ya kwanza kufungwa pingu). Nilikoma nao huku nikijiamini sina kosa lolote
Maana wao walidai nilikuwa nafanya mapenzi ndani ya gari na wadada poa ila walivyokuja akakimbia. Mimi niliwauliza ushahidi wa tuhuma yao wakawa wanajing'ata ng'ata tu. Tulienda hadi kituoni wakinitishia kunilaza ndani hadi J3 ila mimi nikaona poa tu maana haiwezekani mwanaume unafikisha miaka 30 hata hujawai kulala maabusu. Ila ujasiri na kutojali mikwala yao uliwashangaza sana hata kwenye kauta ya kituo hawakunifikisha. Wakaniachia tu hapo nje kuwa nisiendelee kuwapotezea muda
Hata mia mbovu hawakupata.
Ila all in all nilijifunza hao jamaa ukiwa muoga wanakupanda kichwani.


