Mambo ya king Mswati


Where we dare to talk openly
 
Huyo mswati hana adabu,nikuwadhalilisha mabinti huko.

Lusoli;
Sio hivyooo. Huko ni kuwapa nafasi wauoneshe urembo waooo. Umeuona umati uleee? Unaona furaha ya kweli nyusoni mwao??
B/up Ma King Mswati. Ila, ingekuwa ni hapa Bongo, hata kamba za kuwanyonga wanaume zisingelitosha. Watu wangeuawa kwa mionzi.
Najiuliza swali; Huko, kuna wana wa kiumeee
 
kuna siku nilikuwa nasafiri, nikamuona binti mmoja anaendesha baiskeli kifua kiko wazi kama hawa, ilikuwa ni maeneo ya singida. bila shaka mikoa ya hapo kati ina watu wa namna hii
 
Kuna haja ya kufanya investment katika nchi ya Mswati.
 
Kuna haja ya kufanya investment katika nchi ya Mswati.

Mkuu, mimi ilibidi elimu ya Chuo Kikuu nipate huku, ingawa chuo chao hadhi yake sio sawa na UDSM. Ndo hapo nilikuta maajabu ambayo mpenzi wako wa kike anamwonea huruma rafiki yake wa kike ambaye hajapata mwanaume for almost a month, anakuomba wewe wa kwake uende naye baada ya hapo maendelea na mambo yenu kama kawaida. Thubutu nyie Dada wa Kibongo huko Dar, ukijaribu ujue imekula kwako.
 
Ushenzi tu.
Ni mila za kudhslilisha wanawake ns zimepitwa na wakati.
Huu ni ujinga mmoja wa kiafrika nchi zinaporwa watu wanaenda ku parade mabinti wao uchi
Ujinga wa hali juu kabisa
 

Duuuuuh!! Nimeipenda hiyo. Nitakuwa mgeni wao mwakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…