Taratibu jamani, wengine sisi niwagonjwa kwa haya makitu[/QUOTEView attachment 151683
Kwa kitu kama hiki ni kuomba uraia wa uko maana ndo hivyo Tanganyika yetu hailekei kuzaliwa tena
Lahaulaaaaah, mapigo ya moyo yanakwenda mbio mwenzio
Kwa kitu kama hiki ni kuomba uraia wa uko maana ndo hivyo Tanganyika yetu hailekei kuzaliwa tena
Lahaulaaaaah, mapigo ya moyo yanakwenda mbio mwenzio
Pole sana bro.
Taratibu jamani, wengine sisi niwagonjwa kwa haya makitu[/QUOTEView attachment 151683
Kudadadadadadadadeeeeeeeki mtoto mzuri halafu ana mwanya na chuchu zinazokuwa ngumu pindi zikishikwa..! Yaani huyu anaweza kunifanya mchana kweupe nikaingia CRDB na bunduki na kuchukua mapesa lol..
Hizi ni pornography au?
Ni utamaduni tu wa nchi za wenzetu huko na tena hakuna hata kubakana maana ukibaka tu wanakata dushelele halafu anapewa mbwa
Mila nyingine kama hizi hata hazifai kudumishwa.mambo mazuri mazuri,ni muhimu kudumisha MILA zetu za kiafrika.
Kila nchi huwa na utamaduni na mila zake. Kwa utamaduni wao waswazi hizi picha ni sahihi kuonekana kwenye kadamnasi LAKINI KWA UTAMADUNI WETU SI SAHIHI. Hivyo #moderator na #invisible na mods wengine nadhani ipo haja ya kulinda mila na tamaduni zetu ,hivyo ni busara kama wangeutia kapuni uzi huu kwa sababu kwa utamaduni wetu hii ni sawa na "phonographs" tu.ikumbukwe kuwa wakati tunajifunza tamaduni za wengine basi tuwe makini TUSIVUNJE tamaduni zetu.
I stand to be corrected!
Wewe mshanajr endelea tu kuhamasisha ngona,hapo wewe huenda ni mkristo au mwislamu. Halafu kila mara unapost picha hizi nilishakuambia na narudia picha hizi zinaamsha tu tamaa ya uzinzi wote watakaoangalia hapa na kutamani hesabu utatoa mwenyewe siku ya hukjmu.maana amwangaliaye mwanamke na mutamani ameshazini.