Hivi wale faru wa JK wapo kweli?
afadhaliFaru wa Mheshimiwa Rais wapo mkuu.
Tanzania imetajwa kama moja ya nchi zinazoongoza kwa ujangili na hasa biashara ya pembe za ndovu duniani. Sasa inatajwa kama nchi mojawapo hatari kabisa kwa wanyama wa porini duniani.Nchi nyingine ni Kenya na Uganda.Ikumbukwe kuwa Katibu Mkuu wa CCM,Abdurahman Kinana alishutumiwa waziwazi na Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii,Mchungaji Peter Msigwa, kuwa ni kinara wa biashara ya pembe za ndovu. Nchi zilizotajwa kuongoza katika ununuzi wa pembe za ndovu ni China,Thailand,Vietnam,Malaysia na Ufilipino. Nini kifanyike waungwana ili kuwalinda wanyama wetu hasa tembo? Habari kamili ni kwenye Mwananchi la leo uk wa 1 na 4. Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam.
Bila kuchafuana siasa haziendi
Tuulize watu wa Arusha kwa nini hatathubutu kugombea hata ubalozi wa nyumba kumi kumi kwa chama chake CCM.Kinana si mtu wa kupuuzwa, ni strategist na mchapakazi wa kweli, lazima mhangaike kumchafua kwa salama yenu.
Walishataifishwa na mmiliki wa ndovu na faru tzHivi wale faru wa JK wapo kweli?
Mkuu hongera sana, umeingiza posho yako vizuri kabisa, leo unapata mara saba zaidi ya siku zote
Faru wa Mheshimiwa Rais wapo mkuu.
Huhitaji kuwa "rocket scientist" kujua kwamba CCM wana lengo la kuifilisi nchi hii.Tembo 57 hufa kila siku Tanganyika ili kukipatia fedha za kutosha chama cha mapinduzi kuhakikisha wanahonga watu na kuiba kura ili kibaki madarakani.Wameuza kwa bei ya kutupa migodi yote ya almasi na dhahabu,Juzi wamesaini kwa siri mikataba 19 na china ili wajibebee mafuta,gesi na uranium ya mtwara na lindi.Ni lazima uwe mwendawazimu tuu kukiunga mkono chama cha mapinduziKwamba hajui Ndovu wetu wanakwisha kwa sababu ya Kinana kutajwa kwamba ndiyo Master Planer wa dili za Pembe za ndovu? kwamba Meli zake ni moja ya vyombo vinavyo safirisha Pembe za Ndovu wetu?
Kwamba Pembe za Ndovu wetu walio uawa zimekamatwa Hong Kong na kwingineko kutoka kwenye meli za Kinana?
ACHANA NA AKILI ZAKUSHIKIWA.
huna unachokijua wala huelewi kitu tukupe pole kwa vile hujui kinachoendelea hapa tanzania.
Huyo George alikua anaishi Creator na aliwahi kutoroka na wakamkamatia Serengeti.....wengine wapo mkuu, labda huyo ndio atakua kapoteza maisha.....ngoja nikachimbue chimbue tena then nitakuja na jibu mujarabu!
By Izz

Faru wa Mheshimiwa Rais wapo mkuu.

Washaua tayari faru wa JK.

WEWE WA WAPI.

haikuchukua hata roundi wakaua faru wa kwanza kama sikosei anaitwa GEORGE.

WEK MBALI NA FARU ashafanya mambo yake kitambo.