VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Tanzania imetajwa kama moja ya nchi zinazoongoza kwa ujangili na hasa biashara ya pembe za ndovu duniani. Sasa inatajwa kama nchi mojawapo hatari kabisa kwa wanyama wa porini duniani.Nchi nyingine ni Kenya na Uganda.Ikumbukwe kuwa Katibu Mkuu wa CCM,Abdurahman Kinana alishutumiwa waziwazi na Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii,Mchungaji Peter Msigwa, kuwa ni kinara wa biashara ya pembe za ndovu. Nchi zilizotajwa kuongoza katika ununuzi wa pembe za ndovu ni China,Thailand,Vietnam,Malaysia na Ufilipino. Nini kifanyike waungwana ili kuwalinda wanyama wetu hasa tembo? Habari kamili ni kwenye Mwananchi la leo uk wa 1 na 4. Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam.
Pongezi zote ziende kwa kinana.
Mkuu hongera sana, umeingiza posho yako vizuri kabisa, leo unapata mara saba zaidi ya siku zoteTanzania imetajwa kama moja ya nchi zinazoongoza kwa ujangili na hasa biashara ya pembe za ndovu duniani. Sasa inatajwa kama nchi mojawapo hatari kabisa kwa wanyama wa porini duniani.Nchi nyingine ni Kenya na Uganda.Ikumbukwe kuwa Katibu Mkuu wa CCM,Abdurahman Kinana alishutumiwa waziwazi na Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii,Mchungaji Peter Msigwa, kuwa ni kinara wa biashara ya pembe za ndovu. Nchi zilizotajwa kuongoza katika ununuzi wa pembe za ndovu ni China,Thailand,Vietnam,Malaysia na Ufilipino. Nini kifanyike waungwana ili kuwalinda wanyama wetu hasa tembo? Habari kamili ni kwenye Mwananchi la leo uk wa 1 na 4. Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam.
huna unachokijua wala huelewi kitu tukupe pole kwa vile hujui kinachoendelea hapa tanzania.
nchi hizo ambazo zinatambuliwa kama kundi la wanane gang of eight ni pamoja na tanzania, kenya na uganda, ambazo zimewekwa katika kundi la nchi zinazozalisha pembe hizo. Nchi zilizowekwa katika kundi la wanunuzi ni china na thailand, malaysia, vietnam na ufilipino. ( na kinana alikuwa china juzi juzi, tujiulize? )
nimesoma gazeti la mwananchi ya leo tarehe19/05/13 na kujua kuwa kumbe tanganyika ni ya nane duniani katika ujangili wa meno ya tembo sasa najiuliza huyu weka mbali na tembo anasema yeye hausiki, sawa lakini mbona meli yake iliyokamatwa na meno ya tembo haijataifishwa. Yaani katika tanganyika matatizo madogo yanatumiwa nguvu kubwa kuliko yale makubwa. Kwa mfano kuua au kutumia mabomu na maji ya kuwasha kwa kutawanya watu kwenye maandamano/machinga pasipo kutumia lugha nzuri inaliingiza nchi hii katika matatizo mengi na gharama kubwa.
Kwani mabomu ya machozi, maji ya kuwasha hazigaiwi bure zinanunuliwa leo hii tukipiga mahesabu tangu uchaguzi wa 2010 uishe ili tujue tumetumia kiasi gani kwa manunuzi ya mabomu na maji ya kuwasha, ni pesa nyingi sana. Halafu wale mapapa ambao wangekamatwa na kuchukuliwa mali zao walizoiibia serikali wanaachiwa na kesi zao kupigwa kalenda ili wananchi wasahau. Tukirudi nyuma hivi kweli katika kashfa zote ambazo serikali hii imepata kutokana na chenge (vijisenti). ingekuwa nchi nyingine chenge angekuwa bungeni na kupewa tena kamati ili aongoze. Hii inawezekana tanganyika tu
Mkuu hongera sana, umeingiza posho yako vizuri kabisa, leo unapata mara saba zaidi ya siku zote
Hivi akiwa msiba kwa upinzani hawezi pia kuwa msiba kwa vitu vingine?Nakumbuka makala za kibanda kabla hajafukuzwa tanzania daima ndipo aje ateswe, alishasema mengi kuhusu utendaji wa kinana...kwamba kuteuliwa kwake ukatibu mkuu ccm ni msiba kwa upinzani....mada kma hii ni mbinu za kumdhoofisha na kumchafua mbele za jamii