Mambo ya kikubwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo ya kikubwa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by leipzig, Jan 21, 2013.

 1. leipzig

  leipzig JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2013
  Joined: Jan 9, 2013
  Messages: 2,462
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Niko mkubwa haya mambo yamo humu? nataka kujiliwaza.
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2013
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,513
  Likes Received: 5,800
  Trophy Points: 280
  hayo mambo ndo kijiliwazo????
   
 3. m

  maswitule JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2013
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,387
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  hujaeleweka eti.
   
 4. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2013
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,610
  Likes Received: 9,710
  Trophy Points: 280
  Nenda kwa wakubwa.....
   
 5. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2013
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mods muwe mnaangalia threads kama hizi. Sasa mtu kweli anakurupuka tu na kutubandikia maneno sita ya kijinga kama haya na kupost ndio maana yake nini?
   
 6. HP1

  HP1 JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2013
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3,351
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Sijaelewa, can somebody help me?
   
 7. h

  hil2 Member

  #7
  Jan 21, 2013
  Joined: Dec 21, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Huyu ikifika wkend ciwazii atataka nini
   
 8. Kamanda Kazi

  Kamanda Kazi JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2013
  Joined: Dec 15, 2012
  Messages: 2,616
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  thread ya kitoto au alikuwa anajaribu kama anaweza ku-post thread JF!
   
 9. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #9
  Jan 22, 2013
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 46,880
  Likes Received: 1,965
  Trophy Points: 280
  when a PM got stack jukwaani hahahah....i guess this was supposed to be a PM
   
 10. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #10
  Jan 22, 2013
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,323
  Likes Received: 3,485
  Trophy Points: 280
  endelea kukua kwanza
   
 11. p

  prianka JF-Expert Member

  #11
  Jan 22, 2013
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 684
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  mtoto mdogo unakurupuka na pombe mda huu c usome kwanza sasa ndo umepost upuuzi gani
   
 12. Karucee

  Karucee JF-Expert Member

  #12
  Jan 22, 2013
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 10,679
  Likes Received: 1,606
  Trophy Points: 280
  Ujiliwaze unatafuta picha za porn ama? Idiot.
   
 13. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #13
  Jan 22, 2013
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,307
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  hakuna wazee huko kwenu?! Kanunue sabuni upige nyeto ujiliwaze!
   
 14. Mbwiga88

  Mbwiga88 JF-Expert Member

  #14
  Jan 22, 2013
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 640
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Daah kakosea jukwaa ndg huyu
   
 15. leipzig

  leipzig JF-Expert Member

  #15
  Jan 22, 2013
  Joined: Jan 9, 2013
  Messages: 2,462
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Uwezo wa kuelewa sijui ulienda wapi? naulizia jukwaa la mambo ya kikubwa limeondolewa humu JF siku hizi? jamani mpaka watoto wadogo kuliko mimi wajue naulizia nini!!!
   
 16. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #16
  Jan 22, 2013
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,640
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Zitakuwa bange zinazovutwa bila kupasiana.. Na haya ndo madhara yake..
   
 17. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #17
  Jan 22, 2013
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,133
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 160
  kumbe wee mkubwa?

   
 18. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #18
  Jan 22, 2013
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,995
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 160
  Ndiyo Jukwaa la mwisho kabisa katika majukwaa ya JF!

  Ila nina hofu mods wanaangalia na msimamo wa mtu mwenyewe na ndiyo ufunguliwe! Karibu utawakuta wakuu wa jukwaa lengwa


   
 19. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #19
  Jan 22, 2013
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,611
  Likes Received: 811
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha leipzig una miaka mingapi wajameni? Kama umekuwa inabidi umwombe invisible akupeleke kwa wakubwa!! Siri za kule ziache kule kule usilete huku uraiani JF wale kule Fesibuku (Uso wa kitabu). Haya nenda omba!!
   
 20. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #20
  Jan 22, 2013
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,611
  Likes Received: 811
  Trophy Points: 280
  Aha kumbe!! Siku hizi siyo free access hata kwa members waliochangia ni lazima upate kibali maalum. Sasa wewe mhh nakuaona ...Jaribu sijajua kwa taratibu za siku hizi kama ni accessible kwa kila member.Karibu kuchangia kuiwezesha JF, hata ka 50, thousand kanasaidia sana!!
   
Loading...