Mambo ya Kigoma haya

Mambo ya Kigoma haya

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
A8E1OByCAAA93A_.jpg:large
 
pazuri saana hapo ila hy flool ya mbao mmh panatisha kdg hasa kwa sisi tulio zaliwa bara na uoga wetu wa maji
 
Panapendeza, picha namba 3 naona matanki pembezoni mwa ziwa, ni matanki ya nini hayo englibertm
 
Last edited by a moderator:
englibertm dah ukiwa juu kwenye hiyo hotel naukiangalia kina cha ziwa tanganyika kama ni mwoga aise unaweza usikae pale juu maana kutoka pale juu hotelin mpaka uyaguse maji pana utefu balaa
Ila ni mazingira mazuri mno ukiwa pale juu hoteli
Na hao Zebra wako free kutembea kwenye hiyo hotel maana jamaa ana eneo kubwa sana na ana fukwe nzuri sanaza kuogelea
 
Last edited by a moderator:
hao pundamilia ni wa mbugani au zoo?
 
hayo matenki ni ya kuhifadhi mafuta kabla ya kusafirishwa kwenda burundi na DRC, yanamilkiwa na kampuni mbalimbali kama Total, oilcom, bp n.k. na huo ni mtaa wa Kibirizi


Panapendeza, picha namba 3 naona matanki pembezoni mwa ziwa, ni matanki ya nini hayo englibertm
 
Mazingira yekwetu ni mazuri sana kunaewa nzuri na nikifika nyumbani kwetu ijiji kwetu huwa naenda kupumzika gombe au hilltop hotel naenjoi balaaa kalutigite
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom