Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,453
- Thread starter
- #21
We uliyeanzisha thread ni kibaka unataka tupite na milioni zetu uneemeke,mtaa wa Congo vibaka hawawezi kuisha,labda useme wamepungua.Mwezi wa 5 mwakahuu nilipita mitaa ile nikiwa na laki 6 kwenye kibegi kidogo,lilifanyika jaribio la kutaka kuniibia but walishindwa coz teknic walioitumia niko aware nayo,ile ya mtu kukupiga kikumbo makusudi huku kakukanyaga mguu halafu mwingine anakuibia,so ningekuwa siijui ningekuwa nishalizwa
Nitake radhi kende mi ni kati ya watanzania wachache wazalendo na yawezekana tumebaki wazalendo wa kweli wawili tu mimi na warioba.
Last edited by a moderator: