Mambo ya kanga katika mapenzi......!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo ya kanga katika mapenzi......!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kimbweka, Sep 26, 2012.

 1. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hivi unafahamu ni kitu gani kinaweza kumfanya mume wako au mke wako kuwa na mood kwa ajili ya sex?

  Watu wanaofahamu hii sanaa wanasema kuna mambo 4 muhimu ambayo yanaweza kumfanya mke au mume kuwa na mood; kwanza ni kile anaona; kwa maana kwamba anasisimka na kupata mood kutokana na kile anaona kwa macho yake kwako, pili ni kusisimka na kupata mood kutokana na namna anaguswa (touch), tatu anasisimka na kupata mood kutokana na kile anasikia na mwisho huweza kupata mood kwa kuhusanishwa; kwa maana kwamba anasisimka kutokana na uangalifu anaopewa kihisia na wewe namna ulivyo caring and loving.

  Kila mmoja wetu husisimka na kupata mood kwa ajili ya sex kwa hayo mambo manne hata hivyo kila mmoja hupendelea moja zaidi kuliko mengine. Je, kati ya hayo mambo manne ni lipi humsisimua sana mke wako au mume wako? Hujui?

  ... Je, umeishi naye miaka mingapi? Tuache hayo! Ukweli ni kwamba linapokuja suala la sex suala zima la kupeana mood ni namna kila mmoja anavyojiweka kwa mwenzake (presentation)

  MFANO:

  Ikiwa mwanamke atafahamu namna ubongo wa mwanaume unavyofanya kazi linapokuja suala la sex, basi ni rahisi sana kwake kumtega na kumweka kwenye mood ya sex hata kama hakutegemea. Ni kawaida mume akiona chuchu za mke wake hata kama ni ndani ya nguo nyepesi aliyovaa, mume huweza kuanza kusisimka, wapo ambao hufika mbali kwa kuweza kuyeyuka mzimamzima hadi chini ya sakafu huku Mr. Happy akifanya vitu ambavyo hajatumwa.

  Mke akimjaribu kwa kufunua na kufunika hizo chuchu zake mbele ya macho 2 ya mume wake anaweza kuona mumewe anaanza kulegeza kwani magoti huanza kukosa kuvu na kuwa weak. Fikiria wewe ni mke na ni saa nne na nusu usiku; mume wako yupo chumbani na wewe upo bafuni unaoga, ile mume kusikia sauti ya maji unapooga kwake ni foreplay tayari.

  Si unataka awe na mood, unaamua kutoka bafuni huku umejifunga kipande cha khanga huku headlights (chuchu) zako zinaonekana ndani ya khanga na baada ya kuingia chumbani unamsogelea, mwangaliae usoni, inama kumwelekeza yeye kuhakikisha anaona au kugusa matiti na headlights zako na kumwambia "Nakupenda" then Mwangalie anavyohema!

  [​IMG]


  AMEN ..................!!!
   
 2. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 829
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Hiyo picha mbona umeweka nusu tu. jaribu kuiweka hata mwisho magotini tu. tuone vizuri hicho kiuno.
  tatoo kiunoni ni mtego sana!!! ukichanganya na kanga mbichi! balaa!
   
 3. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Labda vijana, lakini kwa wazee kama sisi hata atoke bafuni bila kanga wala pichu hatudanganyiki
   
 4. data

  data JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,786
  Likes Received: 6,556
  Trophy Points: 280
  hayo mambo siku hizi tunafanyiwa na ma housegirls...
  usiniulize how&why.. tutaama mjadala.
   
 5. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  kitchen party galla! mwaga maujuzi Kimbweka! na mie nikionaga six packs ndani ya boxer, uwiiiiiiiiiii!!! speechless!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. morphine

  morphine JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 2,566
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  ah hizi ndio maujuzi ya ndani jamani, mi nishategeka na kukamatika kama mara450 hivi ila sikomi. Haka kaudhaifu hua kana utamu wake :high5:
   
 7. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Ntakutafuta w/end cacico ......................!!
   
 8. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  kanga ipigwe nusu kipenyo halafu kuwe na shanga kuinoni na nyingine kwenye kamguu(kale ka uchokozi)uwiiiiiiiiiiiiiiiiiii,unajihisi uko kwenye mood we mwenyewe hata kabla ya kumfanya mtu awe na mood!
   
Loading...