Mambo ya jirani zetu.MAJOR PAUL KAGAME.

Like I said, I do not support mass killings, but hey, we willingly vote for Machiavellian politicians all the time, they use political double-speak, they deceive us, take us to wars, lie to us (now they misspeak), and I can go on and on. So I just said, if Rwanda is now clean, no more tribal bullshit, no corruption, so maybe the end justify the means!

Tribal bullshit hazipo hewani tu Keynez, kwa kuogopa consequences of course...lakini kwenye mioyo yao zimejaa hadi pomoni.
 
I agree that Tanganyika needs a strong leader..... but not a serial murderer, i am afraid P. K. is busy creating fear and hatred instead of unifying his country. Should we expect another episodes of Revenge and Retaliation once he is gone?.
A simple advice for him is to go the Burundian way (speak to all your enemies. i.e. FDRL and the likes) it is a hard pill to swallow but will reward a long lasting solution for peace.

Amani.

You said it all Bantugbro, with this style of leadership all the good stuff we are hearing about Rwanda can collapse overnight..
 
Ni hatari. Inabidi tuwajue majirani zetu lakini kwanini hawa waheshimiwa hawakusema mapema? Well, Watanzania tunapaswa kuwajua vyema majirani zetu hawa Warwanda, Warundi na Waganda.... ndo mzunguko unaotajwa kwenye taarifa hii!! Zaire hiko mbali kidogo
 
Huwezi jenga taifa kwa kutisha raia na kamwe maendeleo yatokanayo kwa uoga "hayadumu" ...

kagema kama ni kweli hilo ni bomu la muda...

Ndio maana wakati tunaongelea east african community nilikuwa nawaambia..Tanzania is the best country in the community ...lakini tuwaondowe kikwete na makamba..huko ccm waingie wanaume wa shoka wapo wengi...wawe kama mkapa lakini wasiwe wezi kama yeye..itakuja naamini hiyo siku.
 
Kwa kifupi sasa hivi kwa muono wangu, katika Afrika hakuna president ambaye kikazi na mzalendo kama Kagame period
 
Tribal bullshit hazipo hewani tu Keynez, kwa kuogopa consequences of course...lakini kwenye mioyo yao zimejaa hadi pomoni.

Sawa, siwezi kusema kama hiyo ni kweli lakini so long as haiathiri maendeleo ya nchi na maisha yao ya kila siku, hiyo ni hatua moja mbele. Nadhani Rwanda ni nchi iliyochukua hatua kubwa katika reconciliation in recent memory. Mtakachoona kule sasa hivi ni maendeleo tu, haya mapigano hamtayasikia tena, hata PK akiondoka. Kuna watanzania mbona wana wasiwasi na watu wa dini nyingine na kuna wakati makabila fulani?
 
i dont support killings especial of civilians,but i have to admitt the guy is smart.
 
Kagame ni Mtusi!Anatawala Rwanda ambapo majority ni Wahutu.Rwanda Genocide ilitokea baada ya ndege kutunguliwa iliyokuwa na 2 Presidents !France ilishamtaja,ndio maana Kagame anajipendekeza Commonwealth,na kutaka kubadilisha lugha ya maofisini na shuleni kuwa English.Ni kama Tz tuanza Kifaransa than Kiingereza.
Watusi tumeona jinsi wameifanya Congo!Hata Museveni ni mtusi!
Ni watu hatari sana!
 
Watusi ni watu hatari sana! Kwa hiyo waislamu ni watu hatari sana na hawakusoma? Watanzania ni wavivu sana(wakenya wanasema hivyo), wamarekani weusi ni wezi (wazungu wa kule wanawaona hivyo), wagogo wote ni omba omba, wasukuma ni washirikina? wahaya ni malaya! wakiga wanakula sana, Wachaga ni wezi na matapeli, wazungu wote ni wabaguzi wa rangi? kwa hiyo tuelewe hivyo au?
 
Kagame ni Mtusi!Anatawala Rwanda ambapo majority ni Wahutu.Rwanda Genocide ilitokea baada ya ndege kutunguliwa iliyokuwa na 2 Presidents !France ilishamtaja,ndio maana Kagame anajipendekeza Commonwealth,na kutaka kubadilisha lugha ya maofisini na shuleni kuwa English.Ni kama Tz tuanza Kifaransa than Kiingereza.
Watusi tumeona jinsi wameifanya Congo!Hata Museveni ni mtusi!
Ni watu hatari sana!
na nafikiri tutakuja kujua hatari yao zaidi baada ya hii jumuia maana hawa watu wanaonekana vigeugeu na wana tamaa sana na roho mbaya,tutayaona tu muda si mrefu.
 
Naona hawa jamaa wanajuana kwa vilemba!
Hii ni habari ya 05/07/2004 (kama mnavyoona mwishoni), ila mwaka 2007 na 2008 huyu Ruyenzi na wenzake walisema ni kutaka kupata "msosi" kukota kwa Ufaransa. Mwenzake anayeitwa Ruzibiza ndo alikuwa kinara kwa kutoa hata kitabu ambacho baadae alieleza kuwa kiliandaliwa na ufaransa.
Bila shaka tulisoma report ya Rwanda kuhusu kuhusika kwa Ufaransa kwenye mauaji ya kimbari ya 1994.
Leo hii, Ufaransa na Rwanda wanaanzisha tena uhusiano!!!!!!!! Je yameendaje?
Tuwaache wenyewe wamalize mambo yao, cha muhimu tujue ukweli kilichotokea na wahusika.
 
na nafikiri tutakuja kujua hatari yao zaidi baada ya hii jumuia maana hawa watu wanaonekana vigeugeu na wana tamaa sana na roho mbaya,tutayaona tu muda si mrefu.

Nionavyo mimi, huu Muungano unalazimishwa tu, ni pressure kutoka nje, na Kenya na majirani zetu wanataka tuungane, jicho lao wote ni Tanzania ili wapate mali zetu na ikiwezekana tuharibikiwe kama wao, after all hawana cha kupoteza kwa hilo. Raslimali na ardhi kubwa. HAKUNA KUUNGANA NA YEYOTE, iwe Rwanda wala nani! Kenya ndiyo kinara, na wote wako nyuma yake. Tungekuwa lege lege kama Congo, tungekuwa tulishanyang'anywa nchi zamani. Kwa hiyo si suala la watusi, hata wahutu si wema pia, mbona waliwafukuza watusi (wanyarwanda wenzao) toka 1959 wakaishi ukimbizini miaka yote hiyo. Kagame ni matunda ya ubaguzi wa wahutu, au pengine waote wana/walibaguana toka huko nyuma. Ukitechezea bomu likakulipukia, sijui alaumiwe nani! Unategemea mtu aliyeteseka ukimbizini na kukoswa koswa mara nyingi awe vipi? Hili ni tatizo lao wote kama wanyarwanda, hivyo si vema kusema ni watusi. Kabila si hoja, suala ni chanzo cha tatizo lenyewe! Habyarimana aliua watu wengi pia, na wahutu wenzake wakiwemo.
 
JF abla ya kuandika au kutoa comments zenu ni vizuri mka research kidogo na kupata ukweli kuliko hizi bandika bandua kutoka kwenye websites nyingine,mnachekesha sana na hamna idea Rwanda inaelekea wapi zaidi ya kupiga domo tuu na kulia njaa na ufisadi usiku kucha....kila la kheri na majungu yenu.
 
Haya jamani sisi tunaongea ongea hapa wenzetu Wanyarwanda wanasonga mbele...NATAMANI NA SISI TUNGEPATA NAFASI HII SIKU MOJA...

RWANDAN MPS, CABINET UNDERGO THE THIRD DEGREE

In few democracies would you see ministers and mayors grilled and held to account by citizens on national television and radio by citizens for two full days.

In fewer still would you find a Head of State putting himself before his or her citizens for a full four hours of live questioning.

What is perhaps more remarkable still is that in the past week both of these happened in a country critics claim lacks political freedom.

This was Umishyikirano, or National Dialogue, week in Rwanda. It is an annual, constitutionally mandated event unique to Rwanda.

It blends elements found in other political systems: A “state of the union address,” a national consultation, detailed scrutiny of policy.

Hundreds of Rwandans from villages and towns across the country gathered in the parliament building in Kigali; conspicuous in their midst were diplomats and development partners sporting simultaneous interpretation headphones.

The leadership from all levels and political persuasions were challenged on problems that Rwandans face in their daily lives.

In its seventh year, the role of Rwandan citizens in the process was stronger than ever.

For the first time, any Rwandan was able to telephone in their concerns free of charge and have them answered live.

Quite literally, the voices of ordinary Rwandans were heard in the Parliament Chamber.

In another new innovation, thousands of Rwandans sent SMS messages that were scrolled in real time on screens during the event for response by ministers and mayors.

Often, the exchanges in parliament were uncomfortable as leaders had to account for failures in front of the nation and under the keen scrutiny of President Paul Kagame. No-one knew which question or complaint was going to be raised.

In the week leading up to Umushyikirano, the senior leadership of the country took part in lengthy live radio debates where any Rwandan could SMS or telephone in their concerns.

This year’s Umushyikirano was broadcast live on radio and television and 16,000 mostly Rwandan Diaspora followed the proceedings on the Internet around the world.

Such open debate as occurred last week would have been unthinkable in the fragile nation of a dozen years ago.

Rwanda’s democratic journey has been rapid. This year’s innovative National Dialogue demonstrates it continues apace.
SOURCE: THE EAST AFRICAN
 
JF abla ya kuandika au kutoa comments zenu ni vizuri mka research kidogo na kupata ukweli kuliko hizi bandika bandua kutoka kwenye websites nyingine,mnachekesha sana na hamna idea Rwanda inaelekea wapi zaidi ya kupiga domo tuu na kulia njaa na ufisadi usiku kucha....kila la kheri na majungu yenu.
Kindly share with us what you have researched so that we can all be in the same page.
Remember even some research materials are being posted in the websites. Therefore not all that is in the websites is irrelevant to be counted as good source of information.
 
JF abla ya kuandika au kutoa comments zenu ni vizuri mka research kidogo na kupata ukweli kuliko hizi bandika bandua kutoka kwenye websites nyingine,mnachekesha sana na hamna idea Rwanda inaelekea wapi zaidi ya kupiga domo tuu na kulia njaa na ufisadi usiku kucha....kila la kheri na majungu yenu.
babu tunafahamu upande wa mafanikio wa rwanda,na tunaunga mkono vilevile tuko pamoja nao katika hizo jitihada,swali tu lililopo ni kwamba kwanini wanyarwanda wengine hawako happy na huo uongozi wa sasa?sidhani kama tunafanya vibaya kujadili hili swala,hasa ukizingatia kwamba hawa jirani zetu sasa wanatuhusu zaidi.
 
babukijana,
Naona mwenzetu ameghafilika, hapendi kusikia upande wa pili wa shilingi. Amesahau kwamba nidhamu ya woga kamwe haidumu na wala sio msingi wa amani. Haitakuwa na faida yeyote hata nchi ipige hatua kubwa ya maendeleo kama watu wake hawathubutu kutoa mawazo yao bila kuogopa ama kuwa huru kuanzisha vyama vyao bila kuingiliwa na huyo PK.

Pamoja na mapungufu na ufisadi huu tunaouona leo, Tanganyika yetu imetoka mbali tangu kuruhusiwa kuanzishwa kwa vyama vingi na uhuru wa vyombo vya habari! kama huamini leo hii nenda Rwanda ukajaribu kuongea haya unayoongea hapa JF uone cha moto!!:rolleyes:
 
Back
Top Bottom