Mambo ya jikoni

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,557
45,871
Basi bna inatokea jikoni Kuna chombo kinakuwa kimechooka ila hakitupwi na sio kwamba hakuna kingine basi tu
Mimi hiki kimwiko nakipenda sana nisipokipikia naona kama chakula sio
IMG_20190526_183010_4.jpeg
IMG_20190526_184637_8.jpeg
 
Du ako kamwiko kanaonekana kana umri wa kutosha.Ila usikatupe ndo tunakuwaga na experience na mapishi
 
Wanawake wa Pwani ni kawaida yao kupika bila kuvaa kavazi pendwa kishika utamu wa wanaume.

Ukiona dera ndembendembe au kitenge hakitulii kwenye kiuno ujue mss wowote kamasi zinadondoka......

Maswali yote yaelekezwe kwa mtoa mada.

K' Matata.
 
Back
Top Bottom