James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,206
- 1,509
Tusisahau pia kusifia na wanayofanya mazuri ili tunaowataka wasikie yanayoendelea Tanzania wafanye tathimini nzuri.
Sina maana mabaya yasisemwe au kukemewa la hasha tuyakemee ila pia tuyasifie na mazuri wayafanyao.
Hakuna mkoa wa bariadi kuna mkoa wa simiyu alitaka wafanyakazi wachangie sio mkuu wa mkoa ni mkuu wa wilaya mtake radhi mkuu wa mkoa wangu Anthony Mtaka
Takataka ,mavi ya nguruwe,.badala ya kuzungumza ndani unategemea wazungu wakuamulie,kifuatacho uwape tigo kama ujiraHivi karibuni kumekuwa na matukio mbalimbali yakikiuka au kuchochea ukiukaji wa haki za binadamu.
Mifano hai ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani kumlazimisha askari kuitikia salamu za chama chake. Halafu kumwambia mshahara wake unalipwa na serikali ya CCM. Sasa huyu kada wa CCM akitaka twende kwa kina zaidi ni kwamba serikali ya CCM imepewa dhamana tu ya hizo fedha lakini pato la serikali pia linatokana na kodi za Watanzania wote wakiwemo na wapinzani.
Halafu haikatazwi kutembelea taasisi za serikali na kufanya tathimini ya huduma zinazotolewa na kutoa maoni yake kwa kufuata ngazi za chama chake au mtu mwenye dhamana hiyo serikalini. Kuingilia moja kwa moja kwenye maamuzi na utendaji siyo sahihi. Sasa hivi inaonekana kila kada wa CCM ana uwezo wa kutembelea taasisi ya serikali na kutoa amri kitu gani kifanyike huku akipuuza watu wa ngazi za juu waliopewa dhamana ya kuongoza taasisi hizo.
Mfano mwingine ni Mkuu wa Wilaya ya Bariadi kushinikiza watumishi wa serikali kuchanga fedha zao binafsi kununua kifaa cha ultrasound.
Kama hiyo haitoshi Mkuu wa Mkoa wa Mbeya anasema watu wasiosifia mafanikio ya serikali ya awamu ya tano wachapwe viboko.
Kwa kuhitimisha nataka rai kwa wanaoguswa na upuuzi huu kusambaza hizi clips na tafsiri yake kwa Kiingereza kwa mabalozi wa nchi za nje na wadau wa haki za binadamu wa kimataifa ili wajionee wenyewe vioja vinavyoendelea.
Hakika kinachosemwa kwamba mmeishiwa hoja na ushawishi ni sahihi kabisa...Wewe ni mpumbavu kama wapumbavu wenzio sasa hao ma balozi wakusaidie nini pia hatuna mkoa unaitwa bariadi punda ww
Amesema wilaya ya Bariadi sio mkoa. Acha kukimbilia mambo usioyaelewa. Ndio tusambaze kwa mabalozi ili waione ile kauri ya muuza bar Chalamila.Wewe ni mpumbavu kama wapumbavu wenzio sasa hao ma balozi wakusaidie nini pia hatuna mkoa unaitwa bariadi punda ww
Kama ulivyo mpumbavu wewe kuku mweusi na akili zako ni nyeusi na matendo yako meusi.Wewe ni mpumbavu kama wapumbavu wenzio sasa hao ma balozi wakusaidie nini pia hatuna mkoa unaitwa bariadi punda ww
Na hili ndio tatizo la watu wengi, hayo mazuri unayoyajua wewe ni wajibu wake serikali kuyafanya maana sio hisani ni kodi zetu lakini pale serikali inapofanya mambo ya hovyo hovyo hapo tunatakiwa kukemea maana hatujawatuma kufanya maamuzi ya ajabu ajabu.Tusisahau pia kusifia na wanayofanya mazuri ili tunaowataka wasikie yanayoendelea Tanzania wafanye tathimini nzuri.
Sina maana mabaya yasisemwe au kukemewa la hasha tuyakemee ila pia tuyasifie na mazuri wayafanyao.
Wewe ni mjinga sana mbwa mkubwa. Jibu hojaWewe ni mpumbavu kama wapumbavu wenzio sasa hao ma balozi wakusaidie nini pia hatuna mkoa unaitwa bariadi punda ww
Ndugu ilikuwa inatosha tu kumsahihisha mleta uzi pale ulipoona kuna kasoro fulani, lugha staha ndiyo jambo zuri kwa muungwana yeyote kujivunia.Wewe ni mpumbavu kama wapumbavu wenzio sasa hao ma balozi wakusaidie nini pia hatuna mkoa unaitwa bariadi punda ww
Mshamba na limbukeni huzaa ushamba na ulimbukeni kila mahali.Hivi karibuni kumekuwa na matukio mbalimbali yakikiuka au kuchochea ukiukaji wa haki za binadamu.
Mifano hai ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani kumlazimisha askari kuitikia salamu za chama chake. Halafu kumwambia mshahara wake unalipwa na serikali ya CCM. Sasa huyu kada wa CCM akitaka twende kwa kina zaidi ni kwamba serikali ya CCM imepewa dhamana tu ya hizo fedha lakini pato la serikali pia linatokana na kodi za Watanzania wote wakiwemo na wapinzani.
Halafu haikatazwi kutembelea taasisi za serikali na kufanya tathimini ya huduma zinazotolewa na kutoa maoni yake kwa kufuata ngazi za chama chake au mtu mwenye dhamana hiyo serikalini. Kuingilia moja kwa moja kwenye maamuzi na utendaji siyo sahihi. Sasa hivi inaonekana kila kada wa CCM ana uwezo wa kutembelea taasisi ya serikali na kutoa amri kitu gani kifanyike huku akipuuza watu wa ngazi za juu waliopewa dhamana ya kuongoza taasisi hizo.
Mfano mwingine ni Mkuu wa Wilaya ya Bariadi kushinikiza watumishi wa serikali kuchanga fedha zao binafsi kununua kifaa cha ultrasound.
Kama hiyo haitoshi Mkuu wa Mkoa wa Mbeya anasema watu wasiosifia mafanikio ya serikali ya awamu ya tano wachapwe viboko.
Kwa kuhitimisha nataka rai kwa wanaoguswa na upuuzi huu kusambaza hizi clips na tafsiri yake kwa Kiingereza kwa mabalozi wa nchi za nje na wadau wa haki za binadamu wa kimataifa ili wajionee wenyewe vioja vinavyoendelea.
Unaongelea mambo ya serikali jua haumwongelei mtu mmoja.Na hili ndio tatizo la watu wengi, hayo mazuri unayoyajua wewe ni wajibu wake serikali kuyafanya maana sio hisani ni kodi zetu lakini pale serikali inapofanya mambo ya hovyo hovyo hapo tunatakiwa kukemea maana hatujawatuma kufanya maamuzi ya ajabu ajabu.
Kawaida ya watu wenye uelewa finyu huwa ni lazima watukane badala ya kujibu hojaWewe ni mpumbavu kama wapumbavu wenzio sasa hao ma balozi wakusaidie nini pia hatuna mkoa unaitwa bariadi punda ww
Alafu mnataka kupewa nchi, kwahio mtakua mnawafuata wazungu kuwasaidia kuongoza nchi?Hivi karibuni kumekuwa na matukio mbalimbali yakikiuka au kuchochea ukiukaji wa haki za binadamu.