Mambo ya house girl mpya

Mambo ya house girl mpya

Hahahah tulishawahi kuwekewa nazi nzima kwenye freezer!!
 
Anauliza wapi mama hajawahi kaa jikon akaona anafanyaje!
Kazi kuagigiza kwa simu tu!
Pika hiv! Pika vile! Acha akukomeshe
Na waajiri wengine hata kazi zenyewe hawaziwezi. Kupika majanga. Hadi kufua nguo 2 anakodisha mtu, lakini kuchonga weeee!
 
Sio dawa niliwahi kuwa na aliyemaliza form four lakini mambo yake yaliniacha hoi, tulikuwa na sherehe ndogo home sasa kuepusha usumbufu wa kuosha vyombo tukatumia disposable plates vijiko, nyuma na glass, sherehe ilinoga mpaka saa tano usiku hivi wageni wakatawanyika sisi tukalala
Huku nyuma mdada hakulala aliosha disposable zote kuamka asubuhi weee acha tu nilicheka mpaka nikakaa chini
Inavyoonekena mna tabia ya kuwafanyisha kazi mahouse girll hadi usiku mwingi. Pili, utaratibu wa kuwalisha watu kwa sahani za maboksi, tena 'sherehe ndogo tu' nyumbani umepitwa na wakati. Watu hamuwaelekezi wanapofika kutoka makwao halafu mnawakosoa. Wakiwakimbia mnasingizia mmeibiwa kwa taharuki.
 
Na waajiri wengine hata kazi zenyewe hawaziwezi. Kupika majanga. Hadi kufua nguo 2 anakodisha mtu, lakini kuchonga weeee!

Mkuu kuna dada mmoja hadi singled ya mumewe inaenda kwa dobi!

House girl anajua tabia za watoto kuliko mama yao! Nasikiaga Hasira moyoni unasema familia ya kakangu!

Mungu aniepushie mbali!
 
Beki tatu huwa wana maudhi ya makusudi...

Ukimwambia pika wali nazi si ajabu ukakuta nazi nzima imewekwa ndani ya wali...

Hahahahahha nimecheka kuna mmoja alipika samaki na matumbo yake
 
Back
Top Bottom