Mambo ya Harusi; Je, hawa watatoka salama??

kutoka watatoka,ila watatokaje hapo ndipo palipo na shughuri!
 
Jamaa wako strategically positioned, wamekaa eneo wanapogawia nadhani.......
 
Namuona na mshkaji kwa nyuma anapiga simu kabisa kuaga kama nisiporudi mkanicheki hospitali:tape:
 
Itakuwa Banana wine hiyo akitoka hapo aandae poti
Banana wine awe na empties nyingi hivyo!? Banana si mchezo, ina alcohol content kiasi kikubwa,mtu hawezi kunywa kiasi kikubwa kabla hajazimika
 
Kwani baada ya hapa viwanda vya bia vinafungwa?
 
Na mbongo anavyopenda vya bure sipati pichaaaaaaaaaaaaa
 
Watajibeba hao teh tena naivi hawaja changia k2 c wata kunywa kufuru hapo mwe mwe mwe kaz wanayo dadesa teh.
 
kwa watani wetu hapo...watatoka kwa kubebwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…