Mambo ya harusi hayo

Mambo ya harusi hayo

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,209
11030830_994355363908356_4779945955627013102_n.jpg
 
Acha wabebe, unatoa laki unapewa laga mbili tu.
halafu unaweza kukuta ni sherehe ya kilokole (haina laga) lakini kwa kiherehere chao wakataka kiwango cha chini kwa single eti kiwe 100,000/= (laki)
wanabania kupamba ukumbi na kuvalisha maviti manguo, na kununua bati na kiwanja cha maharusi
 
acha jamaa ajilipe maana haya mambo ya "minimum mchango"!!!!
 
Back
Top Bottom