Mambo ya fedha

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,871
155,841
MHINDI, mwarabu na mchaga ambao kwa
kawaida ni wafanya biashara walikutana ili
kufanya utaratibu wa kuwasaidia masikini!
Mwarabu akasema mimi nachora duara,
nikirusha pesa juu zitakazodondokea ndani
ya duara nawapa masikini na zitakazokuwa
nje zote zangu!
Mhindi akasema mimi nachora msitari tu,
zitakazodondokea kwenye msitari nawapa
masikini zitakazobaki ni zangu!
Mchaga akasema mimi narusha pesa zote juu,
zinatazoanguka chini zote zangu na
zitakazobaki juu zote nawapa masikini!!!!!!
 
Back
Top Bottom