Mambo ya FDLR na Rwanda

The world has changed u can't enroll people to the university level for free.. And don't scare me abt wat u know coz u don know wat I know. Also u shouldn't compare two different populations with different demographics In education enrollemnent. During independence East African countries were equal in poverty lines but the Asian tigers are ahead only bcoz east Africans didn't have progressive economic plans. So wat else do u say DIMWIT
 

suala hapa ni kuwa wanyarwanda wamesoma kwetu na people like huyo kaberuka na wengineo wanatumia elimu waliyoipata Tanzania huko Rwanda.
 

Mi nawajua "watanzania" wengi tu wanaosoma kigali but they all happened to be tutsis! coincidence? also "ugandans" and "kenyans" but all tutsis. Ukithibitisha kuwa watanzania wanaosoma rwanda na ni makabila mengine wako zaidi ya watanzania kabila la watutsi i promise kuondoka JF immediately.
 
jMali hutaki waitumie hiyo education kwenye maendeleo ya Rwanda? Now kaberuka anaitumia education yake kwa maendeleo ya Afrika in general. Hujui hilo. Stop yo segregative tendencies
 
Last edited by a moderator:
beth,

..wenzenu october tunaachana na JK tunachagua mwingine.

..kwanini Rwanda mmengangana na huyu mumiani mnywa damu, Paul Kagame?

..kwani Kaberuka ana tatizo gani kumpokea kijiti cha Uraisi?

cc Kobello

walivyo na ukabila usikute bado tatizo linakuwa kaberuka hatokei ukoo wa kifalme or something, wana mambo kweli hawa watu. Unajua wangechagua rais mwingine level headed kama huyu kaberuka anavyoonekana hali ingekuwa tofauti, kagame actually ange-retire kwa heshima zake zote za uwongo anazojifagilia nazo sijui "liberator", sijui "genocide stopper".. na dunia ingekubali. Watu kama kaberuka sidhani wana matatizo ya kuzungumza given makuzi yake ya kistaarabu.
Hata nyerere angeng'ang'ania madaraka leo hii angekuwa hana tofauti na Mugabe! Kabla ya kung'atuka tayari alikwisha-survive kupinduliwa mara kibao..., Nkrumah alipinduliwa....
 
jMali hutaki waitumie hiyo education kwenye maendeleo ya Rwanda? Now kaberuka anaitumia education yake kwa maendeleo ya Afrika in general. Hujui hilo. Stop yo segregative tendencies
quite the opposite, tunafurahi kusomesha waafrika nchini kwetu na wao kurudi kutumikia nchi zao, we feel proud about that. Tatizo nililo nalo ni wewe kudai uchumi uliomsomesha kaberuka and company ni wa hovyo kuliko wa Rwanda hapo ndipo unachekesha.
 
Last edited by a moderator:
What is dimwit?? .... Is it some kind of Kigali slang? lol
Anyways wewe ni mwanamke na siyo vizuri kumtukana mwanaume directly hivyo, it's not cool.

Nirudi kwenye issues, huelewi ninachozungumza. Elimu kama mtanzania kwa wanyarwanda na warundi bila kuwa international students. Kwa mfano bila kujidai nimesoma States kama international student na nimesoma na wanyarwanda,wakenya, warusi, Jamaicans etc... this is not the same. We had students from Togo, Swaziland, Uganda, Zimbabwe, Madagascar etc na walikuwa wanalipa au tuna-exchange. Not Rwandans and Burundis.

Huwezi kutufundisha jinsi ya kuendelea na kutudharau. You are not all that, na sisi siyo watu wavivu kwani tuna chakula in excess. Watu walio na chakula excess ni wavivu?? Hatulishwi na WFP kama baadhi ya majirani.

How is Rwanda different from Tanzania? What demographic properties that affect enrollment and completion rate?

Halafu usikariri mambo ya Asian Tigers. Economic plan gani aliyonayo Singapore ambayo Tanzania hana?
 
Ulimi hauna mfupa, unaweza kuongea na kuandika ulitakalo that is utter nonsense.

Ulimi hauna mfupa As you write and talk. Low thinking capacity.
Nyie watusi mnakuwa na fikra finyu kutokana na ukabila wenu. Tatizo ndo hilo nililoliona kwenu. Na ni rahis sana watu kuwa spot. Kwa sababu mtu akiwapinga tu, mnapelekea kwenye ukabila kwa kusingizia anayepinga yeyote ni hutu.....ahahahhaa crazy guys
 
Watanzania Dr slaa anawafaa.. Hamna blah blah ni kazi tu. Acheni maneno mengi kazini ndo msingi Wa maendeleo. Sio kama wengi wenu ni madalali tu( rent seeking economy). Hata viongozi wengi wanategemea udalali sio kufanya kazi ili walete maendeleo
jMali unaona hawa jamaa, murutongore ndo MUKAMASIMBA wameibuka wote kwa wakati mmoja. Na huyu beth ndo wale wale. Yaani jamaa wana akili ndogo sana. Kweli Tanzania siyo size yao. Sasa wanapiga piga kelele hapa JF wanamdanganya kagame kuwa tunapiga propaganda kwa watanzania, kumbe ukichukulia asilimia ngapi ya wa tanzania hawaingii JF ni kiduchu sana. Hii wanamtapeli kagame wao. Anatoa pesa tu. Na congo sasa hivi ndo inakuwa ngumu zaidi. Eti jeshi la taadhali la rwanda liko Uganda kama wakivamiwa.....LOL
 
Last edited by a moderator:

Daaaa, unajibu swali la history au economy my dada. Nakupenda sana. Ni PM namba yako ya simu basi
 

Mkuu eti huyo lady beth naye analipwa na kagame, ehehehhe, inaonekana kamaliza masomo juzi. Anaandika kama anajibu mtihani
 
Last edited by a moderator:
Mkuu eti huyo lady beth naye analipwa na kagame, ehehehhe, inaonekana kamaliza masomo juzi. Anaandika kama anajibu mtihani
Nilicheka alipouliza "How do you mean?" ... inawezekana ndiye Kagame mwenyewe, maana huwa anakuja twitter sometimes na kizungu chake.
 
RPF walisikilizwa???may be u dreaming, your genocidal gov mlinyukwa mbaya sana mkaishia kuua helpless and undefensive (washenzi wakubwa nyie),keep yapping na ------ wenzako humu lakini one at a time justice will be served...Rwanda is supper better sio kile kijiji cha wauuaji mlichoacha 94
 
suala hapa ni kuwa wanyarwanda wamesoma kwetu na people like huyo kaberuka na wengineo wanatumia elimu waliyoipata Tanzania huko Rwanda.

Kwetu my azz,rudi kwenu Rwanda acha kuchafua a good name Tanzania,Congo wameshawachoka na sumu zenu ila subirini siku wabongo wakishtukia sumu zenu utaomba bora ukamatwe na ISIS.
 
Nilicheka alipouliza "How do you mean?" ... inawezekana ndiye Kagame mwenyewe, maana huwa anakuja twitter sometimes na kizungu chake.

Nothing wrong with saying "How do you mean?"...just go educate yourself.
 
Kwetu my azz,rudi kwenu Rwanda acha kuchafua a good name Tanzania,Congo wameshawachoka na sumu zenu ila subirini siku wabongo wakishtukia sumu zenu utaomba bora ukamatwe na ISIS.
wabongo hao hao wanaotusapoti "sisi" FDLR au wabongo gani tena? Twagiramungu si anakunywa chai magogoni kila weekend umesahau?:A S wink:
 
Basi sawa tufanye: hakukuwa na mazungumzo yoyote ya amani kati ya kagame na serikali ya habyarimana in 1994. Happy?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…