Mambo ya FDLR na Rwanda




Nilishasema kuwa mkitaka niwe mhutu au mmasai sina shida as long as mnajadili kwa hoja. Tatizo lenu hoja hamna mnabaki kuita watu wahutu as if uhutu ni tusi fulani hivi huko kwenu, hicho ndicho tunashoshangaa watanzania.
Pili, si kweli kuwa watutsi walikufa wengi 1994, waliokufa wengi ni wahutu. Watutsi walikufa kwa genocide wakati wahutu waliuawa na majeshi ya RPA. Waliochukua madaraka sio watutsi wa rwanda bali watutsi wa uganda na diaspora ambao walikuja baada ya kagame kuchukua nchi. Hawa hawajamsamehe yoyote kwa sababu majority yao walikuwa wamelowea nchi za watu for generations, hawana hata kijiji wanachokijua, let alone ndugu yoyote aliyeuwawa. Watutsi na wahutu "original" kina kizito mihigo and company ndio waliosamehe wahutu walioua ndugu zao, tatizo ni kuwa wahutu hawajasamehe kwa sababu RPA inalazimisha kuwa ndugu zao waliouawa bila hatia walikuwa ni interahamwe/wauaji wa kimbari. Utulivu sio kiashiria cha amani, watu wanaweza kuwa wametulia kumbe wana yao moyoni. Watutsi wamepata haki kwa sababu wauaji wao wameshitakiwa, wahutu hawajapata haki kwa sababu ndio kwanza wauaji wao wanaendesha serikali. Hivi unadhani mhutu aliye-survive kibeho massacre anajisikiaje akimuona kagame?
Tatizo lingine ni hili la FDLR. Hata mushikiwabo na wenzake wanakubali kuwa majority ya hawa FDLR sio interahamwe, wala sio wauaji ndio maana hata wengine wanarudi na kuishi rwanda baada ya kuachana na FDLR. Sasa wewe unayekaa bongo unasemaje FDLR wasamehewe? For what? for being born hutu? for being born refugees? for what exactly? for what crime? Wauaji wote wa kimbari wanajulikana wameshashitakiwa ICTR na gacaca courts, some of them ambao hawajapatikana bado wanatafutwa, lakini orodha ipo. Hakuna FDLR member hata mmoja aliyeshitakiwa ICTR wala gacaca courts, wasamehewe kwa kosa gani? Acha ukabila. Unajua chuki inamtafuna mtu aliye nayo kuliko hata huyo anayechukiwa. Ushauri wa bure huu.
 

SABABU ZA RWANDA KUTOKUONGEA NA FDLR
1.Ni Genociders
2.Ni waasi wasio kua na nguvu yoyote.
3.Hawana uwezo wa kukamata hata cm 1 ya aridhi ya rwanda
4.waliishapewa karibu rwanda na wengi waliweka silaha chini wanaishi raha mstarehe.

kwa hiyo hakuna haja ya kuongea nao,kuongea nao nikuwapa nafasi wasiyo stahili kwa ni wahalifu tu.
 
Hivi unajua idadi ya wa Tanzania walioko Rwanda?
Uelewa wako mdogo sana, Andiko lako linalalamika kuwa wanaleta threat Rwanda. Watanzania walioko Rwanda hajatufanya tukose usingizi yaani hawana threat kwa nchi.

Swali langu ni kuwa kama hao watu wanawasumbua basi tuwafurushe hapa Magomeni....ona jibu lako linaoana na swali?
 

Ahahahahhaha mzee wa jenosaidi, sasa unataka kuniambia kabila ni mtu wenu? mbona alituomba tuje tuwatandike M23 ambao ni kigenge cha wizi cha kagame? we bwe.ge kweli wewe.
Na mbona hamjajaribu kuvuka mipaka na kuingia Tanzania kama mlivyozoea kwenda congo?
 

1. ni Genociders: sio kweli, genociders wote wamehukumiwa na mahakama ya ICTR kimataifa plus gacaca courts ndani ya Rwanda. HAKUNA mwanachama yoyote wa FDLR aliyeshitakiwa kwenye mahakama hizo. Hakuna kesi yoyote dhidi ya yoyote ndani ya FDLR kwa makosa ya genocide, kimataifa au hata rwanda.
Pili, FDLR imeanzishwa mwaka 2000, mwaka 1994 hakukuwa na FDLR. since 1994 akati wote huo rwanda haikutoa listi ya majina yoyote ya wanaotafutwa kwa genocide ambao wakaja kuwa FDLR mwaka 2000. How are FDLR genociders? Muanzilishi wa FDLR plus maelfu ya former FDLR members have been "integrated" into Rwanda, how is this possible? how come hawakushitakiwa kwanza, what makes FDLR "genociders" so special that they are given houses, plots of land and capital even senior gov posts (Paul Rwakarabije, the FOUNDER AND OVERALL COMMANDER OF FDLR) than wale walioshitakiwa ICTR and gacaca courts?
Third, majority ya FDLR ni watu ambao in 1994 were too young to have committed genocide. so the "genociders" argument does not apply.

2.Ni waasi wasio kua na nguvu yoyote: ex-FAR sio waasi, RPA ndio waasi, RPA kushinda vita hakuwafanyi ex-FAR kuwa waasi. Tukija kwenye suala la nguvu, let me remind you that the same RPA that won in 1994 in Rwanda did so because of the plane downing incident that threw the FAR into disarray, plus RPA had infiltrated soldiers into Rwanda against the Arusha accords, the war was a suprise to the FAR. That's why the same RPA/RDF HAS FAILED since 1994 to wipe out the ex-FAR who are now integrated into FDLR. FDLR armed wing (ex-FAR), if "hawana nguvu yoyote" care to explain how they have REPEATEDLY swatted attacks from RDF since 1994? mpaka Rwanda ikalalamika kuwa UN inawasaidia?

4.waliishapewa karibu rwanda na wengi waliweka silaha chini wanaishi raha mstarehe: most ya waliorudi ni walokuwa watoto sana in 1994 to understand, they don't know better, for them life is better in Rwanda, plus wazee ambao ni too sick to fight. Vijana wanaojielewa wako bado DRC. na ndio maana Rwanda is scared shitless of mere 1500 people! kila siku FDLR, FDLR...mpaka watutsi wanafungwa life sentences for collaborating with 1500 in the jungle? No, FDLR is an idea, an idea that kagame is not a legitimate leader of Rwanda. Actually if i were you i'd be more scared of those former FDLR that have returned to Rwanda than those harmless ones in the jungle. There is no way a child aliyesurvive massacres by RPF in DRC leo akarudi chini ya RPF halafu ukajidanganya kuwa "anaishi raha mustarehe". the best course is negotiations ili muwe na uhakika kwamba FDLR is purely a political movement, otherwise my friend mnaliwa timing!
 
Don`t be stupid kwanza elewa unaongea na nani kabla ya kuanza matusi.
Pili, statement yako haileweki, just ipitie again.
 

Kunakitu huelewi kuhusu dunia hii,nakwambia hata mkeo na ndugu yako wanaweza kutumiwa kuua au kukuletea matatizo kutokana na masilahi waliyonayo katika usaliti huo watakao fanya,kuhusu kabila alikua kweli rafiki wa rwanda lakini kutokana na shinikizo kutoka mataifa makubwa ilibidi awasaliti ndugu zake...ona akina kayumba,na wengine wamesahau walikotoka sasa wanaisaliti nchi yao,kwa hiyo sioni ajabu kabila kufanya hivyo kwani wakati ule alikua ameshinikizwa kuondoka madalakani kutokana na wizi wa kura sasa ilibidi awasikilize ili wamwacha madalakani,kuhusu tanzania kuingiliwa na rwanda bila sababu si rahisi kwani rwanda si wehu,lakini mki jaribu kuweka FDLR mipakani mwenu mjue huo utakua mwisho wa usingizi kwa watanzania.
 

Acha vitisho. Hao FDLR kwa nini RDF wameshindwa kuwapiga mpaka sasa? operesheni zote zile za miaka 2000 mbona hazikufua dafu? Tanzania hatupendi FDLR wawe na silaha, lakini usitake kudanganya watu hapa, RDF HAWAWEZI KUWAPIGA FDLR!
 
Acha vitisho. Hao FDLR kwa nini RDF wameshindwa kuwapiga mpaka sasa? operesheni zote zile za miaka 2000 mbona hazikufua dafu? Tanzania hatupendi FDLR wawe na silaha, lakini usitake kudanganya watu hapa, RDF HAWAWEZI KUWAPIGA FDLR!

Operation Za kuwapiga FDLR zimesitishwa mpaka SADC Watoe tamko. Source: BBC
 
Acha vitisho. Hao FDLR kwa nini RDF wameshindwa kuwapiga mpaka sasa? operesheni zote zile za miaka 2000 mbona hazikufua dafu? Tanzania hatupendi FDLR wawe na silaha, lakini usitake kudanganya watu hapa, RDF HAWAWEZI KUWAPIGA FDLR!

wewe ushabiki tu! waulize FDLR watakueleza mziki wa RDF,unafikiri zaidi ya FDLR 10000 kurudi nyumbani ilikua hiari yao, uliza vizuri.
 
jMali nakupongeza sana kama huyu d.wanzi ndio Tariq Aziz wako. Kazi kweli kweli.
 
Last edited by a moderator:

LOCO:loco::loco::loco:
 
Last edited by a moderator:

we nae ni mwana propaganda?
 
That's a huge problem. Propaganda zikiwa hazina nafasi nyumbani, huwa zinapigwa ugenini.
Mbona Tanzania tunamkosoa rais openly? Hata South, Kenya, Uganda ....

Sio Kenya.

Kenya kuna kijana kafungwa mwaka mmoja jela kwa kuandika kwenye mitandao kwamba Rais Kenyatta Hajakomaa. Yaani kama vile Mwalimu alivyombia JK.
 

FDRL ilikuwapo 1994 au ilianzishwa 2000?
 
Watanzania Dr slaa anawafaa.. Hamna blah blah ni kazi tu. Acheni maneno mengi kazini ndo msingi Wa maendeleo. Sio kama wengi wenu ni madalali tu( rent seeking economy). Hata viongozi wengi wanategemea udalali sio kufanya kazi ili walete maendeleo
 
Watanzania Dr slaa anawafaa.. Hamna blah blah ni kazi tu. Acheni maneno mengi kazini ndo msingi Wa maendeleo. Sio kama wengi wenu ni madalali tu( rent seeking economy). Hata viongozi wengi wanategemea udalali sio kufanya kazi ili walete maendeleo
Mbona tumeendelea kuliko wanyarwanda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…