Mambo ya dunia hupangwa, hayatokei tu

Mambo ya dunia hupangwa, hayatokei tu

Teleskopu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2017
Posts
703
Reaction score
768
Ukishawishiwa kuvaa nguo nyeusi, unaweza kubadilisha baadaye. Lakini ukishawishiwa kukata mkono, ukikubali ujue huo ndio uamuzi wa maisha yako yote. Hakuna kubadilisha likishatendeka. Watu tunapohoji mambo si kwamba tuna ukaidi, la hasha. Tunataka kuwa na uhakika.
………
Dr. Peter Daszak, rais wa EcoHealth Alliance, alisema mwaka 2015 – narudia tena, MWAKA 2015 – MIAKA 4 KABLA YA KORONA.
……….
We need to increase public understanding of the need for MCMs such as pan influence or pan-coronavirus vaccine. A key driver is the media, and the economics follow the hype. We need to use that hype to our advantage to get to the real issues. Investors will respond if they see profit at the end of the process.
  • key driver is the media – tumeona jinsi vyombo vya habari vilivyotumika kusukuma SANA suala la korona
  • economics follow the hype – Mhhhh!! –uchumi unafuata iliko promotion.
  • To get to real issues – kumbe afya za watu si real issue hapa!! Real issues ni nini basi?
  • Investors will respond if they see profit – alaa! Kumbe porojo zote hizi, kutujaza hofu kote huku, kutumia vipimo vya uongo (PCR test), na hata kumwaga misaada huku, kumbe mnachotafuta ni “profit”?
…………..
Je, unadhani mawazo haya ni ya Daszak peke yake?

Je, mawazo haya ni salama au si salama?
………….
Hivi kuuliza maswali ni jambo baya? Kuhoji mambo ambayo nikitendewa hakuna reverse gear milele ni jambo baya kweli?
 
Gwajima mitano tena
Dogo naona na wewe una blue tick. Now this is too much. Sijui ni vigezo gani vimetumika wewe kupewa? Tunapoelekea zitakosa mantiki. Uongozi wa JF uliangalie hili swala kwa jicho la tatu. Yani Melo mchizi wetu anazigawa kama njugu. Nasuburia tu Idugunde apewe tu blue tick najitoa mazimaa jamvin.
 
Blue tick mbona hata wewe ukiamua unapata, cha msingi wasilisha majina yako halisi kwa invisible..
Usiogope kiongozi..
 
Tumeimba weeeeeee, kwamba hizi ni biashara tu za watu, hadi tumechoka sasa, wacha tunyamaze tu...

Dogo naona na wewe una blue tick. Now this is too much. Sijui ni vigezo gani vimetumika wewe kupewa? Tunapoelekea zitakosa mantiki. Uongozi wa JF uliangalie hili swala kwa jicho la tatu. Yani Melo mchizi wetu anazigawa kama njugu. Nasuburia tu Idugunde apewe tu blue tick najitoa mazimaa jamvin.
😂😂😂
 
Naona huwa unashinda unaniwaza namna ninavyokupa mambo.
 
Back
Top Bottom