Mambo ya Dompo

Na wewe umeulizwa??!!! Yote hayo ya nini? Mbona wewe kutwa uko PM mi sisemi?

Hahahaaaaa ukiweka ushahidi wa pm Ntuzu ntakuwa mdogo kuliko piriton
 
Last edited by a moderator:
Aya mke wangu twende! Tuwaache hawa kina mshana jr na utafiti


Tukalale mke wangu huku Chelsea ameshampiga mtu goli moja! Matic Ndio mfungaji!

Nenda tu kalale ila mwisho wa safari ya chelsea unakaribia
 
Last edited by a moderator:
Nenda tu kalale ila mwisho wa safari ya chelsea unakaribia



Karibu sn Darajani mkuu JUMAPILI hii inayokuja!


Ila Angalia Costa atamfanya Wenger ungonjwa wake wa kuanguka uje!
 
Karibu sn Darajani mkuu JUMAPILI hii inayokuja!


Ila Angalia Costa atamfanya Wenger ungonjwa wake wa kuanguka uje!

Mkuu saivi tuna points 10 tukimfunga chelsea tunakua na 13 bado 3 kumfikia chelsea....patamu apo...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…