Mambo ya chuma na sebule

Mambo ya chuma na sebule

Idd hashim

Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
79
Reaction score
17
Jamaa mmoja aliyekuwa na mke na mtoto mmoja apatae miaka kumi alipanga chumba na sebule, sebuleni alikuwa akilala mwanae ambaye alijihusisha na shughuli ya kuuza miwa kwa sababa yeye alikataa shule! Kila siku kulikuwa na miwa ambayo inabaki jioni nayo alikuwa akiiweka uvunguni mwa kitanda cha baba yake mana c unajua kwake ni sebuleni wanapofikia wageni sasa wageni wanaweza kuitamani ndo mana anaiweka chumbani! Siku moja wazazi wake wakiwa katika shughuli ya kujenga familia na dogo akiwa sebuleni kumbe hajalala alisikia sauti.. "ash ash aaah uuu! Ooh tamu! Dogo akashtuka akaita "baba mnakula miwa yangu ee? Hakujibiwa mara akasikia tena " haya chomoa ee chomoa taratibu eeh hiyo inatoka" dogo akakasirika akasema " baba mnanimalizia miwa yangu kudadeki mtanikoma, dogo alipasua pasua vyombo vyo kabatini vyote kwa hasira! Pata picha nn kilitokea baadae!
 
Jamani nimewah kuwaomba radhi mana kuna writting error kidoogo hvyo basi muwe wavumilivu!Chuma=chumbasababa=sababu na mengineyo yatakayojitokeza ! Aksanteni
 
Jamaa mmoja aliyekuwa na mke na mtoto mmoja apatae miaka kumi alipanga chumba na sebule, sebuleni alikuwa akilala mwanae ambaye alijihusisha na shughuli ya kuuza miwa kwa sababa yeye alikataa shule! Kila siku kulikuwa na miwa ambayo inabaki jioni nayo alikuwa akiiweka uvunguni mwa kitanda cha baba yake mana c unajua kwake ni sebuleni wanapofikia wageni sasa wageni wanaweza kuitamani ndo mana anaiweka chumbani! Siku moja wazazi wake wakiwa katika shughuli ya kujenga familia na dogo akiwa sebuleni kumbe hajalala alisikia sauti.. "ash ash aaah uuu! Ooh tamu! Dogo akashtuka akaita "baba mnakula miwa yangu ee? Hakujibiwa mara akasikia tena " haya chomoa ee chomoa taratibu eeh hiyo inatoka" dogo akakasirika akasema " baba mnanimalizia miwa yangu kudadeki mtanikoma, dogo alipasua pasua vyombo vyo kabatini vyote kwa hasira! Pata picha nn kilitokea baadae!
Jokes za ngono hazinifurahishagi. Hii ni moja ya hizo.
 
Wakome

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom